Khee.. Anarudi kufanya nini sasa
Walisema hapa bwihi bwihi ligi ya Morocco ameipatia na atasonga mbele kuliko mwezake Chama.
Chama alishindwa mapema mnoVipi yeye Moroco hapajamshinda kama Chama? [emoji1787][emoji1787]
Chama alishindwa mapema mno,kiufupi alitia aibuVipi yeye Moroco hapajamshinda kama Chama? [emoji1787][emoji1787]
Clatous Chama alivyorejea Tanzania kutokea Timu hii hii aliyotokea Tuisila Kisinda mlikuwa mnasema hadi Kushadadia kuwa ameisha Kiwango haya sasa na huyu aliyerejea Yanga SC Kwenu mtasemaje?Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya nchi ulikwisha kutimia. Bila shaka tujafahamu mapema. Hongera kwao wananchi
Muulize onyango ana majibu mazuriHuyo si ni mzee wa mbio tu
ila huyu kwa kuchelewa?
Karudi na medali ya kombe la shirikisho.Vipi yeye Moroco hapajamshinda kama Chama? 🤣🤣
Watasema huyu amemudu maisha ya morocco ila amerudi yanga kwa sababu anaipenda. Ahahaha uto ni uto.Vipi yeye Moroco hapajamshinda kama Chama? 🤣🤣
karudi kujiandaa kwenda ulayaWatasema huyu amemudu maisha ya morocco ila amerudi yanga kwa sababu anaipenda. Ahahaha uto ni uto.
Kisinda aliinua kwapa sawa na Ibenge huko Moroco.Usimlinganishe na huyo mchezaji wenu wa timu ndogo.Vipi yeye Moroco hapajamshinda kama Chama? [emoji1787][emoji1787]
Kisinda yeye kafukuzwa kabisa.... Bora Chama aliuzwa