Tuisila Kisinda is yellow and green

Kisinda amerudi na [emoji966] ya CAF confederation usichanganye mambo hapo
 
Binafsi nimefurahishwa sana sana na ujio wa TK MASTER!Babu onyango na Tshabalala wajiandae aiseee!hahahahaha
 
Chama àmepanga medali ya ubingwa wa shirikisho ndio maana alivyokuja Simba hakuruhusiwa kuchezea Simba.
 
Ndo Kusema 'kaachwa huko sbb kiwango duni na hakuna timu iliyokuwa na mpango Wa kumnunua' .... ! Ndo Yanga Wamezoa Bure Bure.
 
Unauliza tena wakati kambale mmeuzia bidhaa online hamna mchezaji pale sema makanjanja yamepigwa bahasha za kaki yapo kimya kazi yao kuuliza dilunga na onyango haonekani wakati huo kambale ashawapiga yanga na kitu kizito.
 
Ila tuseme tu ukweli! Tuisila Kisinda alifanikiwa sana uwanjani alipokuwa na wananchi!

Nawaza tu iwapo atarejesha yale makali yake pale Jangwani! Nini kitatokea!! Yaani timu imejaa mafundi wa kila aina!!
 
Kisinda aliinua kwapa sawa na Ibenge huko Moroco.Usimlinganishe na huyo mchezaji wenu wa timu ndogo.
Si hata chama alipata medal maana alikuwa jina lake lishasajiliwa kule na yeye alihesabika mchezaji wa berkene hivi huwa mnatoaga wapi habari zenu hzo nyie utopolo mbona mnadanganya watu sana.
 
kwa hiyo Chama angebaki mpaka mwisho asingenyanyua. akili zenu hovyo
Sio angebaki katika majina ya wachezaji waliochukua lile kombe chama yupo na medal yake ilitolewa hao utopolo wasikuumize kichwa.
 
Chama àmepanga medali ya ubingwa wa shirikisho ndio maana alivyokuja Simba hakuruhusiwa kuchezea Simba.
Hawana wajualo hao mkuu yaani reference yao ni nguruwe pori sasa wataelewa vipi mambo kama hayo.
 
Si hata chama alipata medal maana alikuwa jina lake lishasajiliwa kule na yeye alihesabika mchezaji wa berkene hivi huwa mnatoaga wapi habari zenu hzo nyie utopolo mbona mnadanganya watu sana.
Hapana; hii ni ulongo Bwana, aahhh ulongo. Chama hakupata Medali Bwana ulongo tu.
 
Ndo Kusema 'kaachwa huko sbb kiwango duni na hakuna timu iliyokuwa na mpango Wa kumnunua' .... ! Ndo Yanga Wamezoa Bure Bure.
Chama watu wamenunua mkataba ila kisinda kaja bure hela ya kwenda kambi morogoro iliwashinda wangetoa wapi hela za kwenda kumsajili kisinda
 
Hapana; hii ni ulongo Bwana, aahhh ulongo. Chama hakupata Medali Bwana ulongo tu.
Kama alikuwa mchezaji wa simba mbona ilikuwa hachezi Caf champions league huna ujualo ukishindwa uliza Google itakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…