Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

Inalipa

Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
63
Reaction score
77
Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini.

Alichofanya Okrah kimeifanya Simba idharaulike, maana dakika za mwanzo unavua jezi na ni mechi kubwa? Alichofanya Okrah ni kudhihirisha Simba bado sana kwa Yanga.

Ajifunze kwa mwenzake Ki.
 
Mpira wa miguu ni mchezo wenye "hisia kali (emotions)" na "joto la haraka." Unajikuta unavutwa kufanya kitu ambacho hukutarajia. Hii inaufanya mchezo huu maarufu kutokuutabiri matukio kirahisi (unpredictability), na ndio maana unapendwa na watu wengi.

Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mambo yasiyotabirika kwenye mchezo, hatuhitaji mjadala na sio jambo kubwa la kushikia bango.
 
Mbona hyo kawaida hata mayele alipofunga goli dhidi ya al hilal taifa alitaka kutetema Morrison akamzuia maana mechi ilikuwa bado mbichi nadhani ni temper ya mchezo ni kawaida kwa wachezaji hyo.
 
Mpira wa miguu ni mchezo wenye "hisia kali (emotions)" na "joto la haraka." Unajikuta unavutwa kufanya kitu ambacho hukutarajia. Hii inaufanya mchezo kutokutabiri matukio kirahisi (unpredictability), na ndio maana unapendwa na watu wengi.

Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mambo yasiyotabirika kwenye mchezo, hatuhitaji mjadala na sio jambo kubwa la kushikia bango.
Ingelikuwa hvyo kusingelikuwa na matabaka kwenye mpira...kusingelikuwa na low and high standard playerz...
 
Mbona hyo kawaida hata mayele alipofunga goli dhidi ya al hilal taifa alitaka kutetema Morrison akamzuia maana mechi ilikuwa bado mbichi nadhani ni temper ya mchezo ni kawaida kwa wachezaji hyo.
Je unahis alichokuwa anataka kufanya mayele kinafanana na hili la okrah, hujakatazwa kushangilia ila unashangalia kwa namna gani na kwa wakat gan na ipi impact yake..
 
Hayo ni mambo ya kawaida.Kila mtu anajua namna yake yakujipa furaha.tatizo hapo ni kwamba ukivua unapata kadi yakujitakia ambayo inakugharimu ila mambo mengine ni kawaida.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahahah na Kuna Mashabiki wa Simba wanatetea hili jambo.

Just imagine mtu anavua Jezi Dakika ya 15 ya mchezo, kwenye mechi muhimu na yenye presha kama ya Jana!! Just Imagine!!!

Timu Jana imepata jumla ya Kadi za njano Tano (including one unnecessary) na kupelekea timu iadhibiwe kulipa fine.

That is unprofessionalism, that we did not expect from a player like him and from a club like Simba.

Mnaotetea huu upuuzi sio kila wakati ni wakutanguliza mahaba kwa timu
 
Hahahah na Kuna Mashabiki wa Simba wanatetea hili jambo.

Just imagine mtu anavua Jezi Dakika ya 15 ya mchezo, kwenye mechi muhimu na yenye presha kama ya Jana!! Just Imagine...
For sure hata mim nashangaa hli unajiita mwanamichezo ili upuuzo kama wa okrah unaufurahia..
 
Back
Top Bottom