Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Yeye kuifunga yanga kagoli kamoja aliona kama amefikia kilele cha utukufu tusimlaumu alibakisha kuvua boxa, na kadi akapewa na timu yake aikushinda ni hasara juu ya hasara mwenzenu alifikiria anacheza na wale Ihefu wa angola kwamba mechi imekwisha baada ya kigoli chakeAlichofanya okrah jana katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani.
Alichofanya OKRAH tulichetegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaj wa timu za chini.
Alifanya OKRAH kimeifanya simba idharaulike maana dakika za mwanzo unavua jezi na ni big match...Alichofanya OKRAH ni kudhihirisha SIMBA bado sana kwa YANGA.
Ajifunze kwa mwenzake KI.