Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

angefanya nini ikiwa alisha ambiwa ile ni mechi kubwa

sema kigoli kile na kuvua shati haviendani

piga goli za kibabe kama za mayele ama aziz ki alafu vua shati

asa goli la ndondokera vile alafu unavua shati
Kwa ule mgoli wa tobo alikuwa sahihi
 
Nasisitiza kamati ya massa sabini na mbili ichukue hatua za kinidhamu dhidi ya Chama Kwa kitendo chake Cha kumkanyaga Aucho Kwa maksudi akiwa Hana mpira, Katika Dabi Ili ni tukio lake la tatu na kumekua na tabia ya kumfumbia macho. Tunategemea kamati ya massa sabini na mbili ichukue hatua bila kupoteza muda.
Nenda kwenye page ya TFF au nenda ofisini kabisa pale karume ndo sehemu sahihi ya kuandika haya uloandika.
 
Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini.

Alichofanya Okrah kimeifanya Simba idharaulike, maana dakika za mwanzo unavua jezi na ni mechi kubwa? Alichofanya Okrah ni kudhihirisha Simba bado sana kwa Yanga.

Ajifunze kwa mwenzake Ki.
CR7 na messi wanavua jezi ijekuwa okra acha kuumia kwa vitu vidogo
 

Attachments

  • B615BDF3-0252-44C2-9C1B-390366D4697D.jpeg
    B615BDF3-0252-44C2-9C1B-390366D4697D.jpeg
    32.1 KB · Views: 2
Yeye kuifunga yanga kagoli kamoja aliona kama amefikia kilele cha utukufu tusimlaumu alibakisha kuvua boxa, na kadi akapewa na timu yake aikushinda ni hasara juu ya hasara mwenzenu alifikiria anacheza na wale Ihefu wa angola kwamba mechi imekwisha baada ya kigoli chake
Baada ya hapo mkashinda ngapi na kuongoza ligi kwa point ngapi we utopolo
 
Ingelikuwa hvyo kusingelikuwa na matabaka kwenye mpira...kusingelikuwa na low and high standard playerz...
Mbona fei toto msimu uliopita kombe la mapinduzi alivua jezi naye ni tabaka gani?
 
Mpira wa miguu ni mchezo wenye "hisia kali (emotions)" na "joto la haraka." Unajikuta unavutwa kufanya kitu ambacho hukutarajia. Hii inaufanya mchezo huu maarufu kutokuutabiri matukio kirahisi (unpredictability), na ndio maana unapendwa na watu wengi.

Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mambo yasiyotabirika kwenye mchezo, hatuhitaji mjadala na sio jambo kubwa la kushikia bango.
Umejiumauma tu na huu mlenda uliouandika hapa hizi shule za kata zinawaharibu mno namna ya kufikiri na kujenga hoja
 
Hakunaga wakati sahh hata hujui mtu anakuwa kwenye Hali Gani after scoring a goal.....
Haya tueleze wewe wakat sahh with FIFA references......nyangau ww.
 
Mpira wa miguu ni mchezo wenye "hisia kali (emotions)" na "joto la haraka." Unajikuta unavutwa kufanya kitu ambacho hukutarajia. Hii inaufanya mchezo huu maarufu kutokuutabiri matukio kirahisi (unpredictability), na ndio maana unapendwa na watu wengi.

Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mambo yasiyotabirika kwenye mchezo, hatuhitaji mjadala na sio jambo kubwa la kushikia bango.
Ujue wengine washazoea kukuna nazi..kwhy ukisoma tu alichokiandika unajua huyu chupi kamba kabisaa wala hakupi shida
 
Sasa refa anampa kadi Okra wakati morrison alivua kaptura akabaki na chupi mbona hawakumpa red card
 
Naelewa ina implications zake ni his first league derby kuna mzuka na kila kitu sometimes it happens. Hilo tungemsamehe sababu alitufungia goli.

Lakini zile nafasi mbili alizokua anaweza kutoa pasi na wenzie kufunga goli rahisi ni ubinafsi wa hali ya juu. Hali ya kua timu ilikua inatafuta ushindi.
Derby iliyopita aliingia akitokea Sub,So sio Derby yake ya kwanza!!
 
Mbona hyo kawaida hata mayele alipofunga goli dhidi ya al hilal taifa alitaka kutetema Morrison akamzuia maana mechi ilikuwa bado mbichi nadhani ni temper ya mchezo ni kawaida kwa wachezaji hyo.
Kutetema hupewi kadi yoyote
 
Back
Top Bottom