Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Kama hajaelewa nitag nifumue kichwaMpira wa miguu ni mchezo wenye "hisia kali (emotions)" na "joto la haraka." Unajikuta unavutwa kufanya kitu ambacho hukutarajia. Hii inaufanya mchezo huu maarufu kutokuutabiri matukio kirahisi (unpredictability), na ndio maana unapendwa na watu wengi.
Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mambo yasiyotabirika kwenye mchezo, hatuhitaji mjadala na sio jambo kubwa la kushikia bango.