😁😁😁 hausilaumiwe labda aliaidiwa bodaboda na moAlichofanya okrah jana katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani...
Unateseka ukiwa wap?Alichofanya okrah jana katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani....
Ok. Angevua na boxer watu wapite nayekuvua jezi ndani ya dakika ishrin za kwanza, kwa mechi yeye presha kama jana
Ingelikuwa hvyo kusingelikuwa na matabaka kwenye mpira...kusingelikuwa na low and high standard playerz...Mpira wa miguu ni mchezo wenye "hisia kali (emotions)" na "joto la haraka." Unajikuta unavutwa kufanya kitu ambacho hukutarajia. Hii inaufanya mchezo kutokutabiri matukio kirahisi (unpredictability), na ndio maana unapendwa na watu wengi.
Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mambo yasiyotabirika kwenye mchezo, hatuhitaji mjadala na sio jambo kubwa la kushikia bango.
Je unahis alichokuwa anataka kufanya mayele kinafanana na hili la okrah, hujakatazwa kushangilia ila unashangalia kwa namna gani na kwa wakat gan na ipi impact yake..Mbona hyo kawaida hata mayele alipofunga goli dhidi ya al hilal taifa alitaka kutetema Morrison akamzuia maana mechi ilikuwa bado mbichi nadhani ni temper ya mchezo ni kawaida kwa wachezaji hyo.
Wewe ulishawai kucheza mpira kwenye hizi timu za simba na yanga?Je unahis alichokuwa anataka kufanya mayele kinafanana na hili la okrah, hujakatazwa kushangilia ila unashangalia kwa namna gani na kwa wakat gan na ipi impact yake..
For sure hata mim nashangaa hli unajiita mwanamichezo ili upuuzo kama wa okrah unaufurahia..Hahahah na Kuna Mashabiki wa Simba wanatetea hili jambo.
Just imagine mtu anavua Jezi Dakika ya 15 ya mchezo, kwenye mechi muhimu na yenye presha kama ya Jana!! Just Imagine...
Nikuulize wewe mpira ndo umeanza kuangalia jana.?Wewe ulishawai kucheza mpira kwenye hizi timu za simba na yanga?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app