Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

Kwa ule mtobo alikuwa sahihi kuvua shati
 
angefanya nini ikiwa alisha ambiwa ile ni mechi kubwa

sema kigoli kile na kuvua shati haviendani

piga goli za kibabe kama za mayele ama aziz ki alafu vua shati

asa goli la ndondokera vile alafu unavua shati
Kwa ule mgoli wa tobo alikuwa sahihi
 
Nenda kwenye page ya TFF au nenda ofisini kabisa pale karume ndo sehemu sahihi ya kuandika haya uloandika.
 
CR7 na messi wanavua jezi ijekuwa okra acha kuumia kwa vitu vidogo
 

Attachments

  • B615BDF3-0252-44C2-9C1B-390366D4697D.jpeg
    32.1 KB · Views: 2
Baada ya hapo mkashinda ngapi na kuongoza ligi kwa point ngapi we utopolo
 
Ingelikuwa hvyo kusingelikuwa na matabaka kwenye mpira...kusingelikuwa na low and high standard playerz...
Mbona fei toto msimu uliopita kombe la mapinduzi alivua jezi naye ni tabaka gani?
 
Umejiumauma tu na huu mlenda uliouandika hapa hizi shule za kata zinawaharibu mno namna ya kufikiri na kujenga hoja
 
Hakunaga wakati sahh hata hujui mtu anakuwa kwenye Hali Gani after scoring a goal.....
Haya tueleze wewe wakat sahh with FIFA references......nyangau ww.
 
Ujue wengine washazoea kukuna nazi..kwhy ukisoma tu alichokiandika unajua huyu chupi kamba kabisaa wala hakupi shida
 
Sasa refa anampa kadi Okra wakati morrison alivua kaptura akabaki na chupi mbona hawakumpa red card
 
Derby iliyopita aliingia akitokea Sub,So sio Derby yake ya kwanza!!
 
Mbona hyo kawaida hata mayele alipofunga goli dhidi ya al hilal taifa alitaka kutetema Morrison akamzuia maana mechi ilikuwa bado mbichi nadhani ni temper ya mchezo ni kawaida kwa wachezaji hyo.
Kutetema hupewi kadi yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…