Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

Ila kwa ngoma zilizo kwenye listi haijanisumbua kumpigia kura boss... Eti Mobetto,Mkali wenu,Ebitoke dah!!!
 
Tayali nimeshampigia Melo,je ninaweza kumpigia hata mala nyingi zaidi,au ni mala moja tu?
 
Wakuu,ambao hamjapiga kura msilale tupige kura ili jukwaa letu lishinde,au kwenye jukwaa hili wengi ni CCM? Ndiyo maana wanaona wivu kumpigia Melo¿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…