Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na Lungu, ukimwacha Lungu si mwendelezo wa uonevu kwa wahanga wa Lungu?
 
Ngoja SSH aone mabadiliko kutoka kwenye kubambikiziana na dhuluma yanavyofanyika kwa vitendo
 
Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na Lungu, ukimwacha Lungu si mwendelezo wa uonevu kwa wahanga wa Lungu?

polisi wafuate sheria na sio maelekezo ya watawala
 
Tatizo akifuata sheria wakati boss wake anataka avunje sheria anafanyaje? Akimfukuza kazi anakula wapi? Haki ni kuwa ukitenda kinyume cha sheria, ya baadaye ni yako na sheria itakuhukumu bila kusingizia nilitumwa na bosi. Sabaya kumtaja Magu haitamsaidia...
polisi wafuate sheria na sio maelekezo ya watawala
 
Au angewateuwa kama wangekuwa wamejiuzulu kupinga kulazimishwa kutumia madaraka yao vibaya...
exactly....... wangejiuzulu wangelifuatwa na kupotezwa... Ila hapashwi kumwacha Lungu bila kumwajibisha, asimuonee, amtendee haki.
 
Siku sio nyingi ,Hawa vibaraka wa watawala Walio hai watapiga magoti na kutubu hadharani. Wapo waungwana wengi wamezibwa mdogo na mfumo Dolla wa CCM.
 
Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na Lungu, ukimwacha Lungu si mwendelezo wa uonevu kwa wahanga wa Lungu?
Haitwi HAIKANDE anaitwa HAKAINDE

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nini kimepelekea wewe kumuhusisha Lungu? HH nimemskiliza kwa dk 18 zote alizoongea hajasema kawaondoa hao maafisa kwa sababu wanamakosa. In fact kafanya mabadiriko kwa vyombo vyote vya usalama jeshi, anga, national service na polisi. Kisha kaonya watu wasi wa demonize hawa wote kwa kuwa wameihudumia zambia kwa weledi.
 
Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na Lungu, ukimwacha Lungu si mwendelezo wa uonevu kwa wahanga wa Lungu?
Yaani Sirro ajiandae
 
Back
Top Bottom