Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

Yaani Sirro ajiandae
Sirro anahusikaje wakati Jeshi letu la Polisi limeundwa kizalendo?
mnalijua Jeshi la polisi la Zambia, au ni hasira zenu tu Retired
1630305079937.png

1630305162703.png
 
mnalijua Jeshi la polisi la Zambia, au ni hasira zenu tu
Hichilema amewafukuza makamishina wote wa jeshi la polisi! Usisikilize TBC, ingia mpaka BBC, CNN utapata habari za kweli...unbiased
 
exactly....... wangejiuzulu wangelifuatwa na kupotezwa... Ila hapashwi kumwacha Lungu bila kumwajibisha, asimuonee, amtendee haki.
Unajiuzulu ki-digitali huku umefuta nyayo kwa nini umejiuzulu!
 
Ya Tanzania yamekushinda?
Ya Tanzania, utatukaniwa mpaka tumbo la mama lililokubeba. Hamza anamuhadithia mwendazake huko.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Lusaka, Zambia

PRESIDENTIAL ADDRESS | NEW ZAMBIA POLICE

 
Back
Top Bottom