Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na Lungu, ukimwacha Lungu si mwendelezo wa uonevu kwa wahanga wa Lungu?

Kama Gaidi mboweHivi jitu Kama Siro unalifukuza kazi au unalipiga risasi za makalio kabla ya kulinyonga kama mbwa Koko?
Au kama yule aliye wa lafi polisi wenu salenda. Mkaitafune Sasa hiyo mizoga yenu
polisi wafuate sheria na sio maelekezo ya watawala
Mbowe siyo gaidi, hilo mnajidanganya, ngoja awe rais /au chama chake kitoe rais, atawatendea haki nyote, kila mmoja kwa haki kabisa bila uonevu
Au angewateuwa kama wangekuwa wamejiuzulu kupinga kulazimishwa kutumia madaraka yao vibaya...Wangejiuzulu kukataa maagizo haramu kulingana na maadili ya kazi zao!
Ningewasifu kwa kujiuzulu na Rais mpya asinge wafukuza!
exactly....... wangejiuzulu wangelifuatwa na kupotezwa... Ila hapashwi kumwacha Lungu bila kumwajibisha, asimuonee, amtendee haki.Au angewateuwa kama wangekuwa wamejiuzulu kupinga kulazimishwa kutumia madaraka yao vibaya...
Haitwi HAIKANDE anaitwa HAKAINDESwali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na Lungu, ukimwacha Lungu si mwendelezo wa uonevu kwa wahanga wa Lungu?
asnte
Swali zuri snYa Tanzania yamekushinda?
Yaani Sirro ajiandaeSwali: