Uchaguzi 2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?


Yes, you are absolutely right. Lakini nini kifanyike?

Hopefully, ni sisi (mimi na wewe) tunaojitambua, tuwasaidie wenzetu wasiojitambua waanze kujitambua..

Watambue wajibu wao. Watambue haki zao. Watambue mipaka ya viongozi wao, kwamba kuna maeneo binafsi ya maisha ya mtu kiongozi hapaswi kabisa kufika huko kwa kigezo kuwa yeye ni Rais, DC au ana cheo fulani cha uongozi..

Yes, we can change things if we play our party.

Mimi nimeona na kujifunza kitu kimoja muhimu sana tangu Mwana Mapinduzi Hutu Tundu Lissu arudi toka matibabuni, Ubelgiji..

Nimejifunza kuwa, watu wote mijini na vjijini/mashambani wako tayari kuwezeshwa kujitambua. Na wakijitambua viongozi wa nchi hii wataacha upumbavu na ujinga wao wa kutumia madaraka na mamlaka yao vibaya na kifisadi dhidi ya wananchi wao..!

Tundu Lissu, katika kipindi cha miezi miwili tu tena ktk mazingira magumu sana, amehamasisha watu na wengi wamehamasika kweli kweli na kuanza kujitambua..

Ameleta hamasa na mwamko mpya na watu wakaanza kuona tena thamani ya maisha yao baada ya kupotea katika kipindi hiki cha utawala wa CCM ya Magufuli..!!
 
Magufuli yeye binafsi anapata faida gani anapofubaza demokrasia nchini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ana kera kwasababu anagonga kwenye msumari 'hammering on a nail'
 
Magufuli yeye binafsi anapata faida gani anapofubaza demokrasia nchini ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Of course unajua na Mimi najua kuwa, hakuna faida yoyote ktk maisha yake ya kesho/baadaye kwa matendo yake haya anayofanya sasa/leo dhidi ya binadamu wenzake...

Anachopata kwa sasa ni raha na furaha ya kitambo kidogo sana lakini akiandaa maumivu na mateso ya milele ya nafsi yake..!

Hebu jaribu tu kufikiri hili. Eti unaamua kumuua nduguyo, binadamu mwenzio kwa sababu tu hakubaliani na mawazo yako. Anapingana na wazo lako. Hataki kukusifu au kukupigia magoti.. Tujiulize ili iweje? Utabadilika rangi yako ya ngozi ukisifiwa na kila mtu? Utaongezeka kimo ukisifiwa na kila mtu?

Majibu ya maswali haya obviously, ni HAPANA ila ni basi tu, ni ujinga wa binadamu kumkataa Mungu amwongoze...!!

Na hapa ndipo UJINGA na UPUMBAVU wa binadamu ulipo....yaani kushindwa kuandaa kesho yako nzuri kwa kufanya mapenzi ya Mungu Baba muumba wa vyote...!!
 
Huyo mzee wa kihutu huwa hapendi kabisa kuambiwa ukweli , Yeye huwa anapenda kuambiwa vitu anavyovipenda kusikia , lakini sio kuambiwa kweli , ndio maana kina Chakubanga Polepole na Bashiru walikuwa wanamuaminisha akinunua wapinzani upinzani utakufa wakapiga noti za kununulia wapinzani balaa maana Polepole ndio alikuwa anatembea nazo kwenye gari .Sada upinzani umekufa wao ndio wanahangaika kupiga magoti kweli wamebakiza kuvua nguo tu .
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasante sana kwa comment nzuri
 
vyombo vya dola vifanye kazi kwa usawa bila kupendelea upande mmoja .haiingii akilini kiongozi wa polisi anamwambia mgombea WEWE HUSHINDI HATA UFANYEJE HUSHINDI. alafu utegemee kama huyo polisi atasimamia haki.
 
unakuta RPC anatoa majibu mepesi mepesi tu eti nyumba ya mgombea ubunge na nyumba ya mgombea udiwani zimevamiwa na kufanyiwa uharibifu then siku hiyo hiyo mgombea urais anafanyiwa vurugu kwenye msafara wake na hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa wala kutuhumiwa RPC anaita waandishi wa habari kwamba uchunguzi unafanyika wakati tukio limefanyika mchana kweupe
 

Hakika ni kweli

Asante sana kwa mawazo yenye ushauri mzuri kwetu sisi sote hususani viongozi - watawala..
 
Rubbish
 
Mi nilijua unaleta hoja kumbe unakuja kutoa utetezi.
 

Baadhi ya matusi haya hapa:



Na hili la kukopa pamba ila ndege keshi ndiyo tusi baya zaidi. La hivi kuweka msisitizo mzee Mwinyi aliita kuwa ni tusi la nguoni!
 
Mi nilijua unaleta hoja kumbe unakuja kutoa utetezi.
Yes, ni hoja lakini yenye mtazamo wa kumtetea Tundu Lissu kuwa sioni matusi ktk hotuba zake zote kwa sababu;

1. Matusi au kumtukana mtu yeyote ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania

2. Hajawahi kushitakiwa na mtu yeyote akiwemo huyu mnayedai anatukanwa popote polisi ama mahakamani

3. Hakuna matusi ama tusi lolote ktk kila hotuba niliyoipitia na kumsikiliza..!!

SASA WEWE UFANYEJE?

Pinga hoja zangu au ziunge mkono. Kama unapinga, onesha mfano wa matusi ya Tundu Lissu...

Wewe kusema tu;

"....ooh mimi nilikuwa nadhani una hoja kumbe unamtetea...", haitoshi..

Badala yake kataa utetezi wangu kwa hoja na mifano. Vinginevyo, nyamaza kimya, endelea kuwasoma wengine ili ujifunze..
 
Asante. Ili siku zote ukweli ujitenga ajalishi unri au jinsia mwambie ukweli akichukia sawa akikiuelewa sawa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya matusi haya hapa:

View attachment 1602041

Na hili la kukopa pamba ila ndege keshi ndiyo tusi baya zaidi. La hivi kuweka msisitizo mzee Mwinyi aliita kuwa ni tusi la nguoni!

Haa haa, kwao ni matusi...

Na matusi haya, adhabu yake kuupiga mawe msafara wa Tundu Lissu..

Daaah, it's too barbaric...
 
Rais mtarajiwa TL hajawahi kumtukana rais anayemalizia muda wake madarakani ila huwa anasema ukweli. Ukweli daima unauma
 

Exactly...

Ni utamaduni mbaya (bad tradition) uliojengwa kuanzia ktk ngazi ya familia ambapo watoto wamelelewa ktk msingi wa kuwa, usihoji chochote asemacho aliye mkubwa kiumri kwako wakiwemo wazazi wetu...

Utamaduni na mafundisho haya, hufundisha watoto ujinga na kutojiamini. Na hili ndilo linalowapa taabu walimu wetu mashuleni kufundisha watoto...

Na familia za namna hii ndiyo zinazalisha watu wa aina ya John Pombe Magufuli..

Na ktk mazingira tatanishi, mtu mwenye malezi ya namna hii yenye mapungufu makubwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi..!

Ndiyo maana tunayaona haya maovu.

Na kwa upande wa pili tunapaswa kuilaumu "system" kwa kushindwa kufanya "thoroughly vetting" ya yeyote aitakaye nafasi ya uongozi nafasi ya Urais..

Kama hii ingefanyika sawasawa na kwa uaminifu na uzalendo wa kweli, Magufuli ha - qualify kwenye hiyo nafasi aliyopo sasa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…