Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Cherehani si laki tatu tu mkuu?mnunulie🤣🤣
 
Sio kujidefence mdogo wetu, uhalisia ndio huo mwanamke ukishaaga Kambi ya udada tu unakua huna jipya, tofauti na mwanaume, mwanamke mvuto na muonekano ndio vinavyomvutia mwanaume sasa km ushazeeka muonekano huna umeginaa

Alafu kumbuka sio kila mwanaume anaefikia uzeeni ndio kwmb jogoo anakuwa hapandi nyingi, Hali hyo tu kutokea pale mhusika anapokumbwa na magonjwa km kisugar, figo nk.

Nina Babu mzaa mama mpk Leo hii ana umri ambao nkikutajia utakimbia, Ila kila kukicha anaoa mwali mpyaa na kuwazalisha vzriii mujarab.
 
Kwahiyo To Yeye, kama umezeeka usijipe moyo we waachie mabinti tu walio sokoni kwa sasa, pengine zama zako zilishapita.

Namshukuru Mungu kuniumba mwanaume, vinginevyo ningekuwa nina stress za kuolewa
 
[emoji3]
 
Hahaha, laki tatu January inatosha kabisa kulipia mtoto 1 ada awamu ya kwanza. Hebu fikiria baada ya hapo Nini kitafata, kama siyo mtaji wa vitenge basi vitambaa.
Mkuu ukiogopa gharama baki njia kuu,micheps inahitaji matunzo
 
Anha,kumbe?
 
Anha,sawa mkuu
 
Hawatakuja kukubali ukweli huu maana wameumia Sana mpaka ndani ya mioyo kabisa.yaani umegongelea msumari wa moto kwenye mioyo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…