To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
- Thread starter
- #261
It's okay it's okay mom, Naamini hawatofanya tena🙏🙏🙏Mie !Wanipige tu kwani ndio mwisho wa maisha??? Afu hii juzi nikataka kuja na alternative wameipiga pin mazimaaa yaniii wamenikaliaje kooni 🚮🚮🚮!
Hata siogopii ! Wakinipiga tena naleft mazima 🙌🙌🙌!
Jf sio chakula useme ntakufa!
Halafu nimekua reported several times nashangaa hadi nakosa majibu walai!!