Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Eti mwanaume hakosi soko, hehe acha uongo, mwanaume una miaka 47, binti gani wa miaka 21 atakubali kuolewa na wewe, bila hela? Amehlo
Unaishi Dunia gani kiongozi, niliwahi shuhudia ndoa ya Mzee, nafikiri alikuwa anaelekea ku- retire na binti ambaye nilimkadiria siyo over 20, ndoa ya kanisani ( kanisa) ninalosali, miaka hiyo nilikuwa kidato cha tati, nikajiuliza huyu binti amekosa nini hadi anaolewa na mzee kiasi hiki! Baada ya hapo nimezishuhudia ndoa nyingi sana hasa vijijini kwa sababu nilikuwa na- enjoy sana kushuhudia watu wakifunga kamba za maisha, kwangu iligeuka kuwa hobby, vijijini harusi unahudhuria hata kama huna kadi na msosi unagonga.
 
Nilivyokuwa na miaka 15nilikuwa natongozwa mara 2-4 Kwa siku,Sasa nina 40 natongozwa mara 0-1 Kwa mwezi....eti Kwa Nini?
Ulipokuwa na miaka 15 friction was at its best, sasa hivi friction imepungua, mbili ulipokuwa na miaka 15 hukuwa wa gharama sana (mahitaji yako yalikuwa kidogo) sasa hivi watu wanaogopa kubebeshwa majukumu mazito.
 
Rogger....., rogger, another outregeous, single mom, old feminist on menenopause spotted trying to devalue men oround grid 333.12T.20.gd- jf. However, I hereby inform base to stay calm as she pose no threat whatsoever...., I repeat No threat, base do you copy ??!

View attachment 2745643
Copy that, over

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri Tatizo si shimo, Tatizo ni muonekano na common sense .

Wanawake wengi wanavyozid Kula age huku Wanastress za kuolewa akili zinazidi kufyatuka
Akili zao wengi zinawazaga visasi, waganga, kuuza mechi Kwa ela ya madafu, ulevi, umbea, ujuaji mwingi n.k
Hapa mwanaume akijichanganya vibaya kupigwa tukio zito ni kawaida [emoji3061]

Kama Gigy money hali yake sasahivi, naona kambisa anaelekea kuchizika, maana kila mtu anaetaka kuwa nae hawamtaki, juzi katangaza kuwa anamtaka platform_Tz ametolewa nje, Gigy money ni single mother anaetaman sana kuolewa lakn hapati bahati [emoji23]
 
Nakumbuka pasaka moja enzi hizo, mama kaenda kanisani, kaniachia mboga nipike, akirudi aendelee na mapishi mengine.

Bata mtamu nyie, nikachukua kipande kimoja ili nionje, chumvi ilikuwa imekolea vyema, kawekwa tangawizi, vitunguu swaumu na pilipili manga, viungo vimemkolea.

Nikaongeza kipande cha pili, aisee kikawa kitamu kuliko cha kwanza, ninachokumbuka nilibakiza vipande vitatu tu.

Mama akarudi akiwa ameongozana na Mchungaji, Mwinjilisti na Mzee wa kanisa.
Uzuri kulikuwa na kuku bandani, akawachinjia fasta. Kichapo nilichopokea aisee, usipime, manundu mWili mzima kama nimepigwa na radi.
Jamaa ulikuwa mtundu sana
 
Back
Top Bottom