Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Zari ameanza kuzaa mapema sana.. mimba yake ya kwanza kaipata akiwa mdogo sana.. teanage age

Watoto wake aliozaa na ivan ni wakubwa sana above 20s.

Narudia tena hoja yangu Mwanamke wa miaka 35 ama 40 kupata mimba yake ya kwanza ni kwa mbinde
Kabisa Mzee na hata mtoto akizaliwa unashangaa Hana akili
 
Naufunga Uzi huu rasmi. Wadada tuwena heshma kwa mwanaume. Watatupemfa, tabia za kupeleka ubishi Kwa mwanaume ujuaji, kujifanya tunakomaa nap,, wanauachilia mbali. Hata nikiwa mrembo kias Gani tabia ya kike kike ndio Kila kitu
 


Nyege zinakusumbua.
 
Hii ni zaidi ya comment hili ni darasa mkuu [emoji109][emoji109] big up saaana
 
Ingekuwa hivyo kusingekuwa na Dawa za kuondoa hiyo michirizi ambayo inatafutwa Kwa udi na uvumba.

Inaonekana bado kwenye Game bado mgeni Mkuu. Endelea endelea kidogo utanielewa
Mzee mi kwenye game huu mwaka wa ishirini sio mgeni kabisa nadhani tuseme ni kipenda roho tu
Ndo maana kuna watu wengine wanajikondesha,na wakati huo huo kuna wengine hawataki hao wembamba wanataka wanene
 
Nimepita pita weee mwishowe yamenishinda acha niseme machache

Mwanaume hupata stimulation kutokana na body (appearance) ya mwanamke hasa akiona zile sehemu muhimu zinazohusisha sex, mwanaume ni nadra kusimamisha mbele ya mbibi ambaye tayari ana mapengo na ngozi imenyauka si rahisi labda ana shida ya muda. Na ndio mwanaume anatakiwa awe tayari kihisia ili tendo lifanyike kwa maana bila mwanaume kusimamisha ni kazi bure

Ila kwa mwanamke ni tofauti kidogo, ni wachache hupata hisia kwa kuona body au sehemu ya siri ya mwanaume bali wao hupata kwa kuandaliwa na ndio maana mwanaume huchagua mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…