begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
nipatie namba yako basi ilitufanye namna ya kukutana maana ni mda mwafaka wakuwa na mke sasa.Sitaki harusi nataka kuolewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipatie namba yako basi ilitufanye namna ya kukutana maana ni mda mwafaka wakuwa na mke sasa.Sitaki harusi nataka kuolewa tu
Sasa kweli Bibi wa Miaka 49 ni WA kuzaa kweli?Hii inaonyesha kuwa huna elimu ya uzazi
Kabisa Mzee na hata mtoto akizaliwa unashangaa Hana akiliZari ameanza kuzaa mapema sana.. mimba yake ya kwanza kaipata akiwa mdogo sana.. teanage age
Watoto wake aliozaa na ivan ni wakubwa sana above 20s.
Narudia tena hoja yangu Mwanamke wa miaka 35 ama 40 kupata mimba yake ya kwanza ni kwa mbinde
Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda?
Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike mshindo. Sasa nyie kina Sadiki ndala ndefu mkishaanza kuuacha ujana ngoma nayo inalala dolo.... mpaka hapo huna Kazi tena🧐...ee Kazi haipo ya hicho chombo.🤒
Eti wanawake na wanaume hili mnalionaje kiundani zaidi.... tuachane na zile kujidefence, tuongelee uhalisia sasa🤨
Muwe na siku tulivu basi, eti?
Hii ni zaidi ya comment hili ni darasa mkuu [emoji109][emoji109] big up saaanaNaona mjadala umekuwa wa moto kweli.........
Ngoja niwaibie Siri vijana wangu au watoto wangu na wengine wajukuu zangu........
Mwanaume anaathiriwa sana na mtindo wake wa maisha....... mitindo ya maisha ya mwanaume inaacha athari kubwa sana kwenye mwili wa mwanaume.......ukiwa na health lifestyle utaufurahia uanamume wako kama Mungu akikupa uhai mrefu mpaka uzeeni huko......na kama ukiishi maisha mabaya ya anasa utaanza kuyajutia maisha yako hata kabla ya uzee au hata usiufikie uzee.........
Mwanamke hali yake ya mwili na maumbile yake vinaathiriwa na mabadiliko na vichocheo vya kimwili kwa lugha nyepesi mwili wa mwanamke na mfumo wake wa ufanyaji kazi vinamuamulia muda Gani azeeke au awe Binti.......na speed inakuwa kubwa zaidi kwa jinsi anavyobeba mimba na msongo wa mawazo Kwa hiyo mwanamke anawahi kuzeeka kuliko mwanaume kuanzia muonekano mpaka maumbile........
Upande wa sexy life
Kwa kadri umri unavyokwenda ndio mindset yako inabadilika kuhusu sexy na namna unavyoiendea...... vijana wadogo wanaamini sana kwenye physical sexy kwa sababu ya mihemko Yao kuwa juu muda wote hivyo kushindwa kujizuia........kwa sisi watu wazima tunaamini sana kwenye foreplay sana and cuddles kwa muda mrefu na physical kidogo mpaka wote mnaridhika.......Sanaa ya sexy inataka foreplay za muda mrefu na physical kidogo sana ndio maana lesbians wanakuwa na strong relationship kuliko mnaotiana........
Hormones za mwanamke zina decrine with time hata kwa upande wa mwanaume ni hivyo pia lakini anaweza aka reverse kwa kubadilisha mfumo wa maisha na kufanya mazoezi..........
Wanaume wengi kama hawana zile alama common za utu uzima kama vile mvi na upara ni vigumu kukadiria umri wao kwa muonekano kama alijitunza vizuri......ila kwa wanawake unaweza kumkadiria miaka mingi sana kwa muonekano wake ni wachache sana wenye kuonekana wadogo...........
Uchumi pia unachangia sana kumuangusha mwanamume kwa kuwa matatizo Sugu ya kiuchumi hayakuathiri tu mifukoni bali mpaka kisaikolojia na mwanaume saikolojia yake inaathiri karibia mfumo mzima wa maisha yake........
Mwanaume ukijiweka mbali na pombe, sigara na mihadarati mingine huku ukihangaisha na shughuli zinazouweka mwili wako active kidogo na vyakula bora utaishi miaka mingi ya nguvu na furaha kubwa sana
Mwanamke pia ukijitunza vizuri na ukadhibiti mwili wako huku ujiweka mbali na stress na tamaa juu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wako pia unaishi miaka mingi ya furaha na amani.....
Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza kufa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na lifestyle zetu mbaya......hata kwenye jamii kumkuta mwanamke mlevi sio rahisi kama kumkuta mwanaume mlevi
NB;
Mwanamke mwili wake unatangulia na umri unakuja nyuma....lakini mwanaume umri unatangulia na mwili unakuja nyuma..........
Mzee mi kwenye game huu mwaka wa ishirini sio mgeni kabisa nadhani tuseme ni kipenda roho tuIngekuwa hivyo kusingekuwa na Dawa za kuondoa hiyo michirizi ambayo inatafutwa Kwa udi na uvumba.
Inaonekana bado kwenye Game bado mgeni Mkuu. Endelea endelea kidogo utanielewa
ukwel ni kwamb mnakua kwa kuchomoka kama risas kwenye age za 14 mpaka 25 mtu kazeeka tayar
hapanaaaa bana, kwa hao sjawah kuwachunguza kwakwel... Yaan naongelea wale wa kawaida kbs nikimaanisha ukuaji wa wanawake huwa ni wa speed kuliko wanaume...Utakuwa unakutana na labda wa Ile kazi yao.. au?
umewezaje kuandika kwa rangi hyo naomb nisaidie...UONGO!
Jamani mpaka naona wivu Mimi🤣🤣Wee, sema kweli? 🤭 Hizi bahati ndo nazitaka sasa😊