Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Mwanaume inategemea na unavyoitunza na kuilinda afya yakoo.
 
Kukamata mimba sasa hahaha fkkisha 45 kwenda juu mimba utaisikia tu. Wana biologia wanaita sijui minopoz
 
Biology ilikuwa inakupa shida...mabadiliko yote ya mwili kwa msichana anayekuwa yanachochewa na vichocheo vya mwili wake..ikifika umri fulani vichocheo vikianza kupungua na uzuri wake unapungua pia.
  • ngozi haing'ai tena
  • joto hupungua
  • ngozi huanza kulegea..
Ngozi ikilegea...joto hakuna raha yako inatoka wapi?

Ila mwanaume wa umri huo unaosema kama alijitunza vizuri kakwepa sukari, presha, na mazoezi kafanya bado yupo odder anapeleka mzigo kama sawa na anakuzalisha.

Wanaume hoyee..
 
🤣🤣🤣🤣Eti wanaume oyeee🙌
 
Jiraniii......uko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…