Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Mwanamke akifikisha miaka 30 hana soko tena na havutii wala kutamanika kwa macho tofauti na mwanaume mwenye miaka 60.

Nb: mwanaume anazidi kuvutia kadiri umri wake unavyo sogea hapo bado To yeye hujaweka akiwa na hela .

Alafu kingine hakunaga mwanaume ndala ndefu
 
Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani bas hana soko tena...[emoji848] Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndo anakosa soko kadri age linapokwenda?

Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike mshindo.Sasa nyie kina Sadiki ndala ndefu mkishaanza kuuacha ujana ngoma nayo inalala dolo.... mpaka hapo huna Kaz tena[emoji3166]...ee Kaz haipo ya hicho chombo.[emoji855]

Eti wanawake na wanaume hili mnalionaje kiundani zaidi....tuachane na zile kujidefence,tuongelee uhalisia sasa[emoji2955]

Muwe na siku tulivu bas,eti?
Subiri kidogo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akifikisha miaka 30 hana soko tena na havutii wala kutamanika kwa macho tofauti na mwanaume mwenye miaka 60.

Nb: mwanaume anazidi kuvutia kadiri umri wake unavyo sogea hapo bado To yeye hujaweka akiwa na hela .

Alafu kingine hakunaga mwanaume ndala ndefu
Umeshapata wa kuoa
 
Back
Top Bottom