NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Nakupa shule;-🤣🤣🤣🤣Eti wanaume oyeee🙌
Kwani umeanza kumpenda nani? Au To yeye mwenye uzi wake?Huu uzi,tutaanza kupendana badala ya kujadili mada!!
Nimeshaanza kuona wanapendana humu!badala ya kuchangia uzi!!Kwani umeanza kumpenda nani? Au To yeye mwenye uzi wake?
Hakika nimekuelewa sana aiseeNakupa shule;-
Swala la uboo kusimama kadri umri unavoenda linabaki KUWA la hisia ZAIDI kuliko tamaa za kijana anae balehe ambae hushambulia vyovyote anachokitamani machoni bila resoaning!
Sasa kuanzia 35 HADI hilo linabaki KUWA uchaguzi zaidi na sio KILA dem mboo isimame!!YAANI tunakua very selective ndio maana kina mama wanapenda vijana wadogo coz ashki zao hazichagui lakini kwa sisi wakubwa tunachagua sana HADI uboo ni selective sio kwa kila mtu!HADI kuwe na muunganiko wa hisia labda uwe na upwiru wa muda MREFU ndio inaweza penta hata kwa Bibi!!
Nadhani nimeeeleweka!!
Ebu kuwa muwazi una mume au unampenzi mbona unataka kufanya mambo kuwa magumuNiko nae,sijui atanioa sasa🤔
Ngoja nimstue Maxence Melo aje aone mnavyotongozana Jukwaani na kutusababishia wengine upweke na mtimanyongo na visirani vya hapa na pale.Nitakupenda zaidi, halafu nitakupenda sana kuliko mbu anavyopenda damu.
Huyo jamaa ni mpole sana, tatizo vijana wake ndo machachali kama chillNgoja nimstue Maxence Melo aje aone mnavyotongozana Jukwaani na kutusababishia wengine upweke na mtimanyongo
Kesi imefungwaNina mume mkuu🤭
Rogger....., rogger, another outregeous, single mom, old feminist on menenopause spotted trying to devalue men oround grid 333.12T.20.gd- jf. However, I hereby inform base to stay calm as she pose no threat whatsoever...., I repeat No threat, base do you copy ??!
View attachment 2745643
Mwanaume cha msingi ni kujikinga na magonjwa hatari kwa nguvu za kiume tu inatoshaBiology ilikuwa inakupa shida...mabadiliko yote ya mwili kwa msichana anayekuwa yanachochewa na vichocheo vya mwili wake..ikifika umri fulani vichocheo vikianza kupungua na uzuri wake unapungua pia.
Ngozi ikilegea...joto hakuna raha yako inatoka wapi?
- ngozi haing'ai tena
- joto hupungua
- ngozi huanza kulegea..
Ila mwanaume wa umri huo unaosema kama alijitunza vizuri kakwepa sukari, presha, na mazoezi kafanya bado yupo odder anapeleka mzigo kama sawa na anakuzalisha.
Wanaume hoyee..