Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Mwanamke akifikisha miaka 30 hana soko tena na havutii wala kutamanika kwa macho tofauti na mwanaume mwenye miaka 60.

Nb: mwanaume anazidi kuvutia kadiri umri wake unavyo sogea hapo bado To yeye hujaweka akiwa na hela .

Alafu kingine hakunaga mwanaume ndala ndefu
 
Subiri kidogo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshapata wa kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…