Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Mkuu mimi nataka nikupe hii concept kidogo.

Unaposema mwanaume mwenye soko unamaanisha High value man

Pia unaposema mwanamke mwenye soko unawazungumzia high value women.

Kwanin soko/ value inapungua

1. women are entitled to be in that class

Mwanamke yoyote anapozaliwa kwenye planet earth kwenye galxy hii ya milky way anakuwa automaticaly kweny high value class.
Do i need to justfy this??
Unataka nianze kuhubir why ninesema hivi?

WOw! it's simple
Women wana vingi vya ku offer kuliko wanaume kwenye huu ulimwengu
Kwenye kila famili,jamii hata dola mbali mbali
Sitaki niendelee kuwapaisha naishia hapa.

2. Men fight to become high value
Hapa ndipo panapokuja matabaka na categories za wanaume.

Niwachache walio kwenye hii class

"Am not talkn about dumb rich peep"
Am talkn about real men who understand they value.

Utasikia
1.Alpha
2.Beta
3.Sigma

Niseme sokoni kwa upande wa wanaume ni vita kati ya weak and strong men
Sio bad boys na ma simp , No

Umeona ni jinsi gani mwanaume anaweza akaboost value yake

Ni simple anaweza akaamua from now on ninakwenda kuwa high value man na kweli ikawa hivyo na soko lake likawa la uhakika la milele .
Unataka ni justfy namna gani hizo vakue zinakuwaje?

Lakin je vitu gani vinamfanya mwnamke awe na soko?

Ilibidi nianze na point Hii ya kwanz kabisa.
1. Mwanamke anamhitaji mwanaume zaidi kuliko mwanaume anavyomuhitaji mwanamke
Huoni kama hii inanipa value sokoni.
Ukiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.
Kumbuka habari ya MAREHEMU LYATONGA MREMA.
Halafu jitafakari Kati ya mwanaume na mwanamke kwenye umri huo Nani anamuhitaji mwenzake
 
Hakuna kitu Kama hicho Dunia ya Sasa hivi ya teknolojia haina haja ya kuwa na Mwanamke ndani ili uishi vizuri

Kupika Kuna gasi
Kufua mashine zipo

Unaweka msaidizi wako nyumbani sio lazima kuoa Mwanamke ndo anahitaji Mwanaume ,usipotoshe
 
uko nje ya mada wezani, mtasema nawachukia ila wanawake akili zenu punje, kwani mada ni kuoa au kuolewa ni maamuzi bla bla bla ?! Feminist mwenzenu analalamika kuacha baada ya posa, wewe unakuja kucoment "kuolewa maamuzi"

What a brainless gander
Kuoa

Kuoa au kuolewa NI maamuzi ya MTU.ika
 
Linakuwa limetepeta na kavu nayeyw hisia zake zinakuwa mbali saana kwa ujumla ni bila bila
Hivi mangapi siku hizi yametepeta Tena kwa walio CHINI ya 30.
Wangapi Wana maji Kama mto,yaani ukitomba NI Kama vile unatwanga maji kwenye kinu.
Unatoa mchi,unafuta kwanza.
Eheeee Wana umri wa miaka mingapi hao????
 
Hakuna kitu Kama hicho Dunia ya Sasa hivi ya teknolojia haina haja ya kuwa na Mwanamke ndani ili uishi vizuri

Kupika Kuna gasi
Kufua mashine zipo

Unaweka msaidizi wako nyumbani sio lazima kuoa Mwanamke ndo anahitaji Mwanaume ,usipotoshe
Bado wewe,hayo maneno TU umeongea.ukweli unao moyoni.
 
Wana hata hiyo mindset kichwani sasa...wamejaa chuki tu Kwa wanawake...kwanini ngoma isilale dolo🤒
Hahahahaha
Kamwangalie Jay z na koffo olomide nitafutie Mwanamke mwenye miaka 60s anayeweza kukata mauno ya kisasa Kama Kofi olomide
Mwanamke akate mauno hadharani Tena wa umri huo???
Unooo la mwanamke NI kitandani
 
Mama la mama, usishike mimba ukiwa na miaka 20s,30s uje ushike ukiwa na miaka 50?

Hatujakataa unaweza kushika mimba ukiwa na miaka 50, bali kama ukiwa na miaka 20s hukushika mimba basi hata huko ni nightmare..
MAISHA NI kupanga na kupanga NI kuchagua.
Wewe unaona mtoto kwako NI muhimu na lazima.mwingine anaona NI muhimu lakini sio lazima.Na anajipangia muda wa kuzaaa
 
Bora umekuja ebu tuweke sawa Mwanamke anakoma uzazi miaka mingapi? Na Mwanaume ambaye Hana magonjwa anaweza kutia Mimba mwisho maika mingapi?
Kutia mimba inategemea na anayemtia Kama Ana uwezo wa kutiwa mimba.
Mabinti wangapi wanahangaika wanatiwa lakini hawapati mimba
 
Ukiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.
Kumbuka habari ya MAREHEMU LYATONGA MREMA.
Halafu jitafakari Kati ya mwanaume na mwanamke kwenye umri huo Nani anamuhitaji mwenzake

Ukiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.
Kumbuka habari ya MAREHEMU LYATONGA MREMA.
Halafu jitafakari Kati ya mwanaume na mwanamke kwenye umri huo Nani anamuhitaji mwenzake
Mimi nimekuelewa vizur point yako!!!
Point yako inavitisho na umetumia mfano ambao nina weza nikaurekebisha nakuufanya huo mfano wako ukawa mwiba kweny point yako!

Lkn je? Mwezangu umeilewa point yangu hiyo ambayo umejarbu kuichallenge?

Nafikir kuna haja ya mimi kuifafanua
 
Ni kweli huyo aldada alipatikana ila naona ni bora serikali wangeongeza bajeti hasa kwenye sekta ya elimu ,
 
Back
Top Bottom