DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sawa Forever young 😁👎Lakini mada haizungumzii muonekano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Forever young 😁👎Lakini mada haizungumzii muonekano
Bora umekuja ebu tuweke sawa Mwanamke anakoma uzazi miaka mingapi? Na Mwanaume ambaye Hana magonjwa anaweza kutia Mimba mwisho maika mingapi?Unaishi wapi ili nitaje kazi za huko kwenu?
Ukiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.Mkuu mimi nataka nikupe hii concept kidogo.
Unaposema mwanaume mwenye soko unamaanisha High value man
Pia unaposema mwanamke mwenye soko unawazungumzia high value women.
Kwanin soko/ value inapungua
1. women are entitled to be in that class
Mwanamke yoyote anapozaliwa kwenye planet earth kwenye galxy hii ya milky way anakuwa automaticaly kweny high value class.
Do i need to justfy this??
Unataka nianze kuhubir why ninesema hivi?
WOw! it's simple
Women wana vingi vya ku offer kuliko wanaume kwenye huu ulimwengu
Kwenye kila famili,jamii hata dola mbali mbali
Sitaki niendelee kuwapaisha naishia hapa.
2. Men fight to become high value
Hapa ndipo panapokuja matabaka na categories za wanaume.
Niwachache walio kwenye hii class
"Am not talkn about dumb rich peep"
Am talkn about real men who understand they value.
Utasikia
1.Alpha
2.Beta
3.Sigma
Niseme sokoni kwa upande wa wanaume ni vita kati ya weak and strong men
Sio bad boys na ma simp , No
Umeona ni jinsi gani mwanaume anaweza akaboost value yake
Ni simple anaweza akaamua from now on ninakwenda kuwa high value man na kweli ikawa hivyo na soko lake likawa la uhakika la milele .
Unataka ni justfy namna gani hizo vakue zinakuwaje?
Lakin je vitu gani vinamfanya mwnamke awe na soko?
Ilibidi nianze na point Hii ya kwanz kabisa.
1. Mwanamke anamhitaji mwanaume zaidi kuliko mwanaume anavyomuhitaji mwanamke
Huoni kama hii inanipa value sokoni.
Hiyo kweli na mademu wengi wanapewa Mimba na wazee Ila wanaona aibu kusema wanasingizia vijana wa mtaani.Kwa taarifa yako its viceversa madam...
Go crosscheck your references..
Wazee wana stamina kushinda vijana..
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu Kama hicho Dunia ya Sasa hivi ya teknolojia haina haja ya kuwa na Mwanamke ndani ili uishi vizuriUkiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.
Kumbuka habari ya MAREHEMU LYATONGA MREMA.
Halafu jitafakari Kati ya mwanaume na mwanamke kwenye umri huo Nani anamuhitaji mwenzake
Kuoa
Kuoa au kuolewa NI maamuzi ya MTU.ika
Hivi mangapi siku hizi yametepeta Tena kwa walio CHINI ya 30.Linakuwa limetepeta na kavu nayeyw hisia zake zinakuwa mbali saana kwa ujumla ni bila bila
Bado wewe,hayo maneno TU umeongea.ukweli unao moyoni.Hakuna kitu Kama hicho Dunia ya Sasa hivi ya teknolojia haina haja ya kuwa na Mwanamke ndani ili uishi vizuri
Kupika Kuna gasi
Kufua mashine zipo
Unaweka msaidizi wako nyumbani sio lazima kuoa Mwanamke ndo anahitaji Mwanaume ,usipotoshe
HahahahahaWana hata hiyo mindset kichwani sasa...wamejaa chuki tu Kwa wanawake...kwanini ngoma isilale dolo🤒
Mwanamke akate mauno hadharani Tena wa umri huo???Kamwangalie Jay z na koffo olomide nitafutie Mwanamke mwenye miaka 60s anayeweza kukata mauno ya kisasa Kama Kofi olomide
MAISHA NI kupanga na kupanga NI kuchagua.Mama la mama, usishike mimba ukiwa na miaka 20s,30s uje ushike ukiwa na miaka 50?
Hatujakataa unaweza kushika mimba ukiwa na miaka 50, bali kama ukiwa na miaka 20s hukushika mimba basi hata huko ni nightmare..
Huo NI mtazamo wako weweMwanamke akiwa juu ya miaka 30 Hana soko Tena na Maisha ya bongo ndo Kabisa wanapoteana Mapema sana
Kutia mimba inategemea na anayemtia Kama Ana uwezo wa kutiwa mimba.Bora umekuja ebu tuweke sawa Mwanamke anakoma uzazi miaka mingapi? Na Mwanaume ambaye Hana magonjwa anaweza kutia Mimba mwisho maika mingapi?
Wazee wa kimoja chaliiiiHiyo kweli na mademu wengi wanapewa Mimba na wazee Ila wanaona aibu kusema wanasingizia vijana wa mtaani.
Honestly swala kuolewa na Kupata Mume Sio jambo Rahisi hata kidogoKutia mimba inategemea na anayemtia Kama Ana uwezo wa kutiwa mimba.
Mabinti wangapi wanahangaika wanatiwa lakini hawapati mimba
TegetaUnaishi wapi ili nitaje kazi za huko kwenu?
TegetaUnaishi wapi ili nitaje kazi za huko kwenu?
Sio TU mume,Bali NI mume boraHonestly swala kuolewa na Kupata Mume Sio jambo Rahisi hata kidogo
Ukweli humuuma ambaye amezoea kusikia anayotaka kusikia tuUkweli unauma eeeee??
Ukiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.
Kumbuka habari ya MAREHEMU LYATONGA MREMA.
Halafu jitafakari Kati ya mwanaume na mwanamke kwenye umri huo Nani anamuhitaji mwenzake
Mimi nimekuelewa vizur point yako!!!Ukiwa mzee ndo utaijua kuwa unamuhitaji mwanamke sana.na kuishi peke yako hutaweza.
Kumbuka habari ya MAREHEMU LYATONGA MREMA.
Halafu jitafakari Kati ya mwanaume na mwanamke kwenye umri huo Nani anamuhitaji mwenzake
45 miaka hujaelewa nn..?Ki
Unabeba na unazaa vizuri tu.
Labda Kama siku zimekimbia