Hela yote ilipelekwa kutengeneza mabango ya kampeni ya mwizi wa kuraStand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Unasikia!!!!! Una matatizo sanaStand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Kuna wakati tunasema.Hakuna Helaaaa
Finances never lie.....Bank account never lies....
Salio la akaunti ya benki lazima likuumbue
No money,na TRA makusanyo ni zero hakuna biashara inayotoa kodi
zote ni hoi bin taabani
Tanzania kama URAYAAAAAAAA
Jamaa alikuwa makini kwenye uchangiaji wa hoja, ila siku hizi ana haribiwa na nini sijuiMada kama haukuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Bila ushaidi wa hayo unayoyasema ni sawa na kujadili yai la jogooStand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Ukiona hivyo tumefikia namba za kilatini.Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Wahenga huwa walijaliwa hekima Sana hata wakaja na semi nyingi za hekima naomba tujaribu kukumbushana semi zile zinazoendana na mazingira yeti ya leo.Mipango si matumizi tambua unapanga then vinatokea vipaumbele vingine,bora yeye kathubutu hata kujaribu nyie je mna mradi gani hata mnaofikiria?
Ila kweli lakini,ama unapima upepo.Hata ujenzi wa Banda langu la Kuku unasua sua
Mzalendo wa kitanzania,onyesha njia je wewe unalipainavyostahili?Lipeni kodi ndugu zangu hii miradi itaisha ndani ya mwaka mmoja tu 😊
Usipoangalia mwisho atakupa mimba maana unampenda sana.Hata Mbowe ameshindwa kuwa Waziri mkuu kama alivyotuahidi wakati wa kampeni!
Merry Christmas!
Mimi sio kodi tuMzalendo wa kitanzania,onyesha njia je wewe unalipainavyostahili?
Hizo hela za kufanyia hayo yote zinatoka katika vyanzo vipi vya serikali kwa mfano?!Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Kwa kipato halali au hata kileharamu.Mimi sio kodi tu
Wakati mwingine naiongezea serikali cha juu kutokana na upendo wangu tu
Chochote kile ili serikali isikwameKwa kipato halali au hata kileharamu.
Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhaniKuna maeneo kadhaa anajuwa alikurupuka na ameharibu kama ifuatavyo:
1. Kuhamia Dodoma
2. STIGLERS GORGE
3. SGR kuanza kwenda Rwanda badala ya Uganda
4. Kiwanja cha ndege Chato
5. Kivuko cha Busisi Lake Victoria
6. Kununua ma-Dreamliner bila mpangilio
Haya ma miradi hata akija msaidizi wake wa Karibu kama Kassim Majaliwa au Palamagamba Kabudi atapindua ndani ya siku100 za kwanza. Siyo lazima CDM kwa kuwa haihitaji kuwa na PhD kujua kwamba yalifanywa kwa ajili ya sifa na hayana upembuzi yakinifu
Kwa hiyo unasikia raha au huzuni?Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Huyu labda aende insta huko.Hata fb kwa uwezo wake atakaa benchKiwango chake kimeshuka sana siku hizi ni wa kumuonea huruma tu. Dirisha dogo la usajili anaweza kwenda FB.