Watanzania tumeletewa hoja mbili mezani. Moja ina maslahi mapana kwa taifa na nyingine 8nalenga kuwachekesha wakubwa.
Mkataba wa bandari unaathiri kwa kila mtanganyika.
Makonda hana athari kwa yeyote maana anachokwenda kueneza siyo cha taifa bali maisha ya waliomteua.
Tuamue sasa kujadili masuala ya kitaifa kuliko kujadili hoja za mwanaccm asiye na athari kwenye mlo wa siku.