Tujadili makataba wa bandari au tujadili Paul Makonda?

Tujadili makataba wa bandari au tujadili Paul Makonda?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Watanzania tumeletewa hoja mbili mezani. Moja ina maslahi mapana kwa taifa na nyingine 8nalenga kuwachekesha wakubwa.

Mkataba wa bandari unaathiri kwa kila mtanganyika.

Makonda hana athari kwa yeyote maana anachokwenda kueneza siyo cha taifa bali maisha ya waliomteua.

Tuamue sasa kujadili masuala ya kitaifa kuliko kujadili hoja za mwanaccm asiye na athari kwenye mlo wa siku.
 
Baada ya miaka 30 walioingia mkataba wote hawatakuwa madarakani. Wataacha msala kwa waliopo kwa ilivyokuwa kwa IPTL
 
Back
Top Bottom