Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aendelee au asiendelee ni hiari yake na Chama chake !K
Kumbe Katiba haijasema aendelee😄😄😄
Rais Samia amepaata urais kwa bahati sana. Alichokosea kujiona amekubalika kwa makelele ya machawa. Angetulia na kuusomaa mchezo na kujua nini wtz wanataka sasahivi angepita kiraisi sana. Sio ule uhuni uliofanyika Dodoma. Ndani ya CCM kuna fukuto linalosubili kulipukaSarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana.
Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu ya wao kufanya hivyo. Katika majukwaa inatajwa Samia kufanya makubwa katika utawala wake. Si hayo makubwa yataleta kura za bwerere kabisa?
Nje ya hapo kumekuwa na mambo mengi ya hovyo kabisa kulazimisha kila kitu kiwe cha Samia. Mabango kila mahali, huwezi kufanya sherehe ya kiserikali bila bango la Samia, ajabu mpaka kwenye muhimili wa Mahakama sherehe zao zina mabango ya Samia......Sijui Samia Cup, Samia Urembo, Ndondi Vitasa vya Samia, Goli la Mama Samia, kila kitu kila mahali Samia.
Najiuliza kama mtu umefanya kazi vizuri ikaonekana, haya yote ya nini? Kwa nini unahangaika kiasi hiki kama KUKU MTETEA ANATAKA KUTAGA?
Unakaa kimya Kwa sababu ya uogaSio kwamba sina cha kusema ila nakaa tu kimya.
Hakuna mwenye ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ni Rais wa Nchi !Rais Samia amepaata urais kwa bahati sana. Alichokosea kujiona amekubaloka kwa makelele ya machawa. Angetulia na kjusomaa mchezo na kujua nini wtz wanataka sasahivi angepita kiraisi sana. Sio jle uhuni uliofanyika Dodoma. Ndani ya CCM kuna fukuto linalosubili kulipuka
Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana.
Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu ya wao kufanya hivyo. Katika majukwaa inatajwa Samia kufanya makubwa katika utawala wake. Si hayo makubwa yataleta kura za bwerere kabisa?
Nje ya hapo kumekuwa na mambo mengi ya hovyo kabisa kulazimisha kila kitu kiwe cha Samia. Mabango kila mahali, huwezi kufanya sherehe ya kiserikali bila bango la Samia, ajabu mpaka kwenye muhimili wa Mahakama sherehe zao zina mabango ya Samia......Sijui Samia Cup, Samia Urembo, Ndondi Vitasa vya Samia, Goli la Mama Samia, kila kitu kila mahali Samia.
Najiuliza kama mtu umefanya kazi vizuri ikaonekana, haya yote ya nini? Kwa nini unahangaika kiasi hiki kama KUKU MTETEA ANATAKA KUTAGA?
NakaziaSamia hakubaliki sababu ni:-
1. Mwanamke.
2. Mzanzibari.
3. Hana uwezo.
Haya anayajua na ndiyo chanzo cha mashaka yake.
Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana.
Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu ya wao kufanya hivyo. Katika majukwaa inatajwa Samia kufanya makubwa katika utawala wake. Si hayo makubwa yataleta kura za bwerere kabisa?
Nje ya hapo kumekuwa na mambo mengi ya hovyo kabisa kulazimisha kila kitu kiwe cha Samia. Mabango kila mahali, huwezi kufanya sherehe ya kiserikali bila bango la Samia, ajabu mpaka kwenye muhimili wa Mahakama sherehe zao zina mabango ya Samia......Sijui Samia Cup, Samia Urembo, Ndondi Vitasa vya Samia, Goli la Mama Samia, kila kitu kila mahali Samia.
Najiuliza kama mtu umefanya kazi vizuri ikaonekana, haya yote ya nini? Kwa nini unahangaika kiasi hiki kama KUKU MTETEA ANATAKA KUTAGA?
....kibaya chajitembezaSarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana.
Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu ya wao kufanya hivyo. Katika majukwaa inatajwa Samia kufanya makubwa katika utawala wake. Si hayo makubwa yataleta kura za bwerere kabisa?
Nje ya hapo kumekuwa na mambo mengi ya hovyo kabisa kulazimisha kila kitu kiwe cha Samia. Mabango kila mahali, huwezi kufanya sherehe ya kiserikali bila bango la Samia, ajabu mpaka kwenye muhimili wa Mahakama sherehe zao zina mabango ya Samia......Sijui Samia Cup, Samia Urembo, Ndondi Vitasa vya Samia, Goli la Mama Samia, kila kitu kila mahali Samia.
Najiuliza kama mtu umefanya kazi vizuri ikaonekana, haya yote ya nini? Kwa nini unahangaika kiasi hiki kama KUKU MTETEA ANATAKA KUTAGA?
Zama hizi ni vigumu kwa mtu timamu kutazama televisheni bila kuchefukwa.Juzi hapa Azam kazindua kivuko cha kwenda kigamboni. Bango limejaa picha ya maza, wanahojiwa wote shukrani kwa maza. Sikuelewa kabisa naomba kueleweshwa
Shida ni uzwazwa wa CCMJuzi hapa Azam kazindua kivuko cha kwenda kigamboni. Bango limejaa picha ya maza, wanahojiwa wote shukrani kwa maza. Sikuelewa kabisa naomba kueleweshwa
Hicho kitu hakipo, sahau. CCM ni ile ile. Panapo majaaliwa yake Mungu, tusubirini Oct 2025 tufanye uchaguzi na Mama ataibuka mshindi na kutangazwa Raisi. Hakuna cha fukuko wala yabisi.Rais Samia amepaata urais kwa bahati sana. Alichokosea kujiona amekubalika kwa makelele ya machawa. Angetulia na kuusomaa mchezo na kujua nini wtz wanataka sasahivi angepita kiraisi sana. Sio ule uhuni uliofanyika Dodoma. Ndani ya CCM kuna fukuto linalosubili kulipuka