Tujadili: Nini kinajenga mashaka kwa Rais Samia?

Tujadili: Nini kinajenga mashaka kwa Rais Samia?

Juzi hapa Azam kazindua kivuko cha kwenda kigamboni. Bango limejaa picha ya maza, wanahojiwa wote shukrani kwa maza. Sikuelewa kabisa naomba kueleweshwa

Nchi ya mazwazwa.
 
Tumpe tu maua yake mama!!

Hatusikii kabisa neno fisadi hakika wazanzibar wacha Mungu sanaa 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom