Tujadili: Nini kinajenga mashaka kwa Rais Samia?

Mimi namuomba tundulisu atusaidie kupush huyu maza anunue madawati watoto wanakaa chini karne ya 22.ni aibuu kwa watz wote tunakubali CCM kutesa watoto.
 
Hakufuata Utaratibu, Mila, Desturi Za CCM. Amekiuka Katiba Ya Nchi Na CCM Hakuna Uwazi Wowote.
 
Rais Samia amepaata urais kwa bahati sana. Alichokosea kujiona amekubalika kwa makelele ya machawa. Angetulia na kuusomaa mchezo na kujua nini wtz wanataka sasahivi angepita kiraisi sana. Sio ule uhuni uliofanyika Dodoma. Ndani ya CCM kuna fukuto linalosubili kulipuka
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ni Rais wa Nchi !
Msidanganyike !
Hata hao CCM wenyewe wanalijua hilo !
 
Hapakuwa na hayo maandalizi msiba ndio ulimpa hiyo nafasi kwa busara alipaswa fanya kama Makamu wake. Hilo tu
 
Uwezo wakufanya jambo nakulisimamia kwa udhubutu hawezi,, Ila ndani ya chama wapo wathubutu wenye uwezo MKUBWA wakumshinda yeye,,ni kama yupo kwenye kiti na kama hayupo kwenye kiti YEYE MWENYEWE HAJIAMINI,, ila pia mshauri wake mkuu ni mtu wa mchongo mchongo aliwahi kuwa RAISI,,, mi 5 tena hatuna namna ,,,
 
 

Attachments

  • 5938169-3f8437b06df44d0a7c8b8e175f481762.mp4
    23 MB
....kibaya chajitembeza
 
Juzi hapa Azam kazindua kivuko cha kwenda kigamboni. Bango limejaa picha ya maza, wanahojiwa wote shukrani kwa maza. Sikuelewa kabisa naomba kueleweshwa
Zama hizi ni vigumu kwa mtu timamu kutazama televisheni bila kuchefukwa.
 
Hicho kitu hakipo, sahau. CCM ni ile ile. Panapo majaaliwa yake Mungu, tusubirini Oct 2025 tufanye uchaguzi na Mama ataibuka mshindi na kutangazwa Raisi. Hakuna cha fukuko wala yabisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…