Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 2,193
- 4,434
Wewe utakuwa dampo sasa😄Wewe utakuwa zaidi ya takataka!😀

SawaWewe utakuwa dampo sasa😄
Anyway kutetea tiss kwa sasa ni ngumu au we unaoonajeSawa
TISS wataendelea kuwepo milele na milele. TISS wapo kwenye kila sector ya kijamii, wakulima, bodaboda, wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, n.k. Kwahiyo ukisema hawafai maana yake ni watz wote hawafai kitu ambacho hakiwezekani. Nyinyi mnalalamika kwenye mlengo mmoja unaowahusu tu lakini ni zaidi ya hapo. Sijui kama utakuwa umenielewa!!Anyway kutetea tiss kwa sasa ni ngumu au we unaoonaje
Kwako wewe watoto wakienda chooni na mkeo akavaa kijola kipya ni amani?Halafu wewe ndio unafaa unayetaka wazungu waje kuongoza nchi hii!!? Slavery mentality inakusumbua sisi tunaojitambua hatutakubali kama ambavyo tumekataa uhuni wenu wa kutaka kupingua Serikali tarehe 29 October 2025
Nimesoma na watoto wa afisa elimu na wakuu wa wilaya,pale minaki nilisoma na mtoto wa kinanaHizo shule unazosema ulishawahi kumuona mtoto wa afisa elimu,mkuu wilaya,waziri anasoma?Hizo shule ni Kwa ajili ya TABAKA la kutumiwa na watawala kama dekio ili wao waendelee kuneemeka na wewe kubaki mpiga mdomo tu wa mapambio
Na mabadiliko ya hiyo mifumo hayawezi kuja kwa kupigiana magoti namna hii, hapo yanatakiwa mapinduzi tuu tena mapinduzi makubwa ,lazima kuna kundi lijitoe muhanga bila hivyobni ngumu sanabmtu kutema ndoano kirahisiKwakweli matatizo ya nchi hii ni mengi kama mtoa mada alivyo ya ainisha.
Hivi vyombo vyote (TISS, POLICE, TAKUKURU, MAHAKAMA, BUNGE n.k) havitenganishwi na serikali iliyoko madarakani.
Bila kubadili katiba na kureview madaraka ya Rais nchi itaendelea kuelekea papaya zaidi.
Mwendokasi ina shida gani?Miradi yote
Huoni mwendokasi? Nani alisema ijengwe vile? Nani alisema ijengwe yard Jangwani?
Unaweza thibitisha madaraja kuathiriwa?Huoni SGR? Huoni mvua kidogo tu imesitisha safari kwa madaraja kuathiriwa na mvua?
Kivuko gani kilijengwa kwa bei mbaya na kimeharibikaHuoni vivuko vinavyojengwa kwa bei mbaya vinavyoharibika na kuendeshwa hovyo?
Bandari imefanyaje?Huoni Bandari?
Dodoma-mwanza ilijengwa 2005,imechakaa,dar-dom ni kongwe kuliko Dom-mwanzaHuoni barabara zinavyojengqa chini ya kiwango? Umepita barabara ya Dar- Dodoma - Mwanza?
Barabara za mitaani hazijengwi kwa viwango vya barabara za tanroadDar- Lindi - Mtwara?
Umepita barabara ya Dodoma- Iringa? Umeona barabara za mitaani zilivyo chini ya kiwango?
Wanaotekwa na kufirwa ni wenye maneno kama yako uliyosema hapa. Kwanini usitekwe na kufirwa kwa maneno ya kijinga kama yako hayo.Kwako wewe watoto wakienda chooni na mkeo akavaa kijola kipya ni amani?
Hivi unawajua wahuni wanao teka kufira na kuua raia wasio na hatia?
Au mpaka waje wakufilimbe wewe na familia yako ujue kuna wahuni?
Pimbi wee!
Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;
1. Kiuchumi
2. Kijamii
3. Kisiasa
Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana kwa usawa na vinakuwa na nafasi sawa ya kuunda serikali kwa kipindi fulani kwa mujibu wa Katiba. Vinakuwa na usawa kwenye kushindana kwenye uchaguzi na kupata nafasi ya kutangazwa kuwa washindi ili waunde Serikali.
Kinyume chake TISS imenajisi mfumo wa kisiasa kwa kukipendelea chama kimoja cha siasa ambacho ni CCM na kuruhusu Katiba kusiginwa na matakwa ya Wananchi kudhulumiwa. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa na Wananchi kwa sababu inaleta kinyongo na wananchi kuwaza njia mbadala za kutafuta demokrasia. Njia hizi zimeanza kuleta mauaji ya raia, kutekwa na kupotezwa kwa raia. Kiwango kikubwa cha utekaji na mauaji ya Wananchi kilichofanywa kuanzia mwaka 2017 hadi sasa ikiwemo kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 inaonesha kabisa kuwa nchi yetu haipo salama kisiasa.
Kwa upande wa kiuchumi ili nchi iwe salama inapaswa kuwa na mifumo imara ya kifedha, uchumi imara usiotetereka, usioharibiwa na rushwa na ufisadi pamoja na maendeleo ya kweli kwa Wananchi.
Hapa Tanzania nchi yetu ina kila kitu cha kuifanya kuwa Taifa tajiri zaidi na lenye maendeleo zaidi Afrika. Hii ni kutokana na uwepo wake kijiographia na uwepo na mito, bahari na rasilimali nyingi zingiwemo gesi, dhahabu na madini mbalimbali.
Ila kinyume chake nchi yetu ni masikini sana. Kutokana na rushwa inayofanywa kwenye miradi mikubwa ya kulifanya Taifa liwe na uchumi imara, miradi mingi imekuwa ikitekelezwa kwa hasara kiasi cha kufanya Taifa liwe kwenye hatari ya kiusalama kiuchumi. Miradi ya barabara, ujenzi wa majengo, maji, reli na kila sehemu imekuwa ikitekelezwa chini ya kiwango huku ikitumia fedha nyingi za walipakodi ambazo mwisho zimefanya miradi husika kuwa ya hasara kwa Taifa.
Sio hivyo tu kipaumbele kwenye miradi na usimamizi wake unaonesha kuwa Taifa linaendeshwa na watu wasio na akili. Miradi ya mwendokasi, vivuko, ndege, masoko na sasa SGR inaonesha kabisa kuwa nchi hii imeshajifia kutokana na kukosa ubora wa muda mrefu. Kwa kifupi hii nchi sio salama kabisa kiuchumi maana iko kwenye blink of collapse.
Kijamii ili jamii iwe salama kunapaswa kuwa na kuelewana baina ya wananchi wa dini mbalimbali na makabila mbalimbali. Dini zinapaswa kuachwa kukemea dhambi na dhuluma. Walimu wa mashuleni na vyuoni wanapaswa kuachwa huru kufanya tafiti halisi za matatizo ya wananchi na kupendekeza kwa uhuru suluhisho la matatizo hayo. Walimu pia wanapaswa kuachwa kuwafundisha Wanafunzi ukweli katika masomo yao huku wakitoa mifano hai na ya ukweli. Wananchi pia wanapaswa kuachwa kuwa huru kutoa mawazo yao bila hofu ya kulawitiwa, kutekwa, kuuwawa au kufunguliwa kesi za uongo.
Kinyume chake hapa nchini sasa TISS kwa kushirikiana na CCM wanazuia wananchi kuwa huru kutoa mawazo yao kwa uhuru. Wanawatisha na hata kuwakamata na kuwapoteza.
Kwa sasa nchini, TISS na ccm wanaendesha propaganda za hatari za kufarakanisha dini na Viongozi wa dini ili tu kulinda maslahi ya wanasiasa kisiasa. Kwa sasa wanawapangia hadi wachungaji, masheikh na mapadre wahubiri nini na wakemee dhambi gani. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Walimu mashuleni sasa wanapangiwa wafundishe nini wanafunzi wao na wawape mifano gani jambo ambalo linaenda kuua free thinking na kusababisha jamii iangamie maana bila fikra huru hapawezi kuwa na jamii imara. Historia ya dunia inaonesha matatizo ya wananchi duniani yalipatiwa ufumbuzi wa kudumu kupitia fikra huru.
Swali langu kwenu wanabodi Je kuna haja na faida tena ya kuendelea kuwepo kwa hiki chombo TISS nchini?
Mkuu anamali gani weka hapa orodha tuone.TISS lazima iwepo lakini si chini ya huyu Mombo, maana katika Chief Spies wote waliopita TISS, huyu mjamaa ana utajiri wa kutosha kuliko wote na kaupata utajiri huo kupitia chombo chetu cha Dola
Afukuzwe haraka sana ikibidi auwawe kabisa na Mali zake zitaifishwe
JAMAA inasemekana anamiliki migodi ya dhahabu ndiyo maana ni tajiri sanaTISS lazima iwepo lakini si chini ya huyu Mombo, maana katika Chief Spies wote waliopita TISS, huyu mjamaa ana utajiri wa kutosha kuliko wote na kaupata utajiri huo kupitia chombo chetu cha Dola
Afukuzwe haraka sana ikibidi auwawe kabisa na Mali zake zitaifishwe
Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;
1. Kiuchumi
2. Kijamii
3. Kisiasa
Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana kwa usawa na vinakuwa na nafasi sawa ya kuunda serikali kwa kipindi fulani kwa mujibu wa Katiba. Vinakuwa na usawa kwenye kushindana kwenye uchaguzi na kupata nafasi ya kutangazwa kuwa washindi ili waunde Serikali.
Kinyume chake TISS imenajisi mfumo wa kisiasa kwa kukipendelea chama kimoja cha siasa ambacho ni CCM na kuruhusu Katiba kusiginwa na matakwa ya Wananchi kudhulumiwa. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa na Wananchi kwa sababu inaleta kinyongo na wananchi kuwaza njia mbadala za kutafuta demokrasia. Njia hizi zimeanza kuleta mauaji ya raia, kutekwa na kupotezwa kwa raia. Kiwango kikubwa cha utekaji na mauaji ya Wananchi kilichofanywa kuanzia mwaka 2017 hadi sasa ikiwemo kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 inaonesha kabisa kuwa nchi yetu haipo salama kisiasa.
Kwa upande wa kiuchumi ili nchi iwe salama inapaswa kuwa na mifumo imara ya kifedha, uchumi imara usiotetereka, usioharibiwa na rushwa na ufisadi pamoja na maendeleo ya kweli kwa Wananchi.
Hapa Tanzania nchi yetu ina kila kitu cha kuifanya kuwa Taifa tajiri zaidi na lenye maendeleo zaidi Afrika. Hii ni kutokana na uwepo wake kijiographia na uwepo na mito, bahari na rasilimali nyingi zingiwemo gesi, dhahabu na madini mbalimbali.
Ila kinyume chake nchi yetu ni masikini sana. Kutokana na rushwa inayofanywa kwenye miradi mikubwa ya kulifanya Taifa liwe na uchumi imara, miradi mingi imekuwa ikitekelezwa kwa hasara kiasi cha kufanya Taifa liwe kwenye hatari ya kiusalama kiuchumi. Miradi ya barabara, ujenzi wa majengo, maji, reli na kila sehemu imekuwa ikitekelezwa chini ya kiwango huku ikitumia fedha nyingi za walipakodi ambazo mwisho zimefanya miradi husika kuwa ya hasara kwa Taifa.
Sio hivyo tu kipaumbele kwenye miradi na usimamizi wake unaonesha kuwa Taifa linaendeshwa na watu wasio na akili. Miradi ya mwendokasi, vivuko, ndege, masoko na sasa SGR inaonesha kabisa kuwa nchi hii imeshajifia kutokana na kukosa ubora wa muda mrefu. Kwa kifupi hii nchi sio salama kabisa kiuchumi maana iko kwenye blink of collapse.
Kijamii ili jamii iwe salama kunapaswa kuwa na kuelewana baina ya wananchi wa dini mbalimbali na makabila mbalimbali. Dini zinapaswa kuachwa kukemea dhambi na dhuluma. Walimu wa mashuleni na vyuoni wanapaswa kuachwa huru kufanya tafiti halisi za matatizo ya wananchi na kupendekeza kwa uhuru suluhisho la matatizo hayo. Walimu pia wanapaswa kuachwa kuwafundisha Wanafunzi ukweli katika masomo yao huku wakitoa mifano hai na ya ukweli. Wananchi pia wanapaswa kuachwa kuwa huru kutoa mawazo yao bila hofu ya kulawitiwa, kutekwa, kuuwawa au kufunguliwa kesi za uongo.
Kinyume chake hapa nchini sasa TISS kwa kushirikiana na CCM wanazuia wananchi kuwa huru kutoa mawazo yao kwa uhuru. Wanawatisha na hata kuwakamata na kuwapoteza.
Kwa sasa nchini, TISS na ccm wanaendesha propaganda za hatari za kufarakanisha dini na Viongozi wa dini ili tu kulinda maslahi ya wanasiasa kisiasa. Kwa sasa wanawapangia hadi wachungaji, masheikh na mapadre wahubiri nini na wakemee dhambi gani. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Walimu mashuleni sasa wanapangiwa wafundishe nini wanafunzi wao na wawape mifano gani jambo ambalo linaenda kuua free thinking na kusababisha jamii iangamie maana bila fikra huru hapawezi kuwa na jamii imara. Historia ya dunia inaonesha matatizo ya wananchi duniani yalipatiwa ufumbuzi wa kudumu kupitia fikra huru.
Swali langu kwenu wanabodi Je kuna haja na faida tena ya kuendelea kuwepo kwa hiki chombo TISS nchini?
Hii Tiss tuliyonayo imepigwa copy na mafisadi kwa maana ya kwamba ni kweli jina ni Usalama wa Taifa ila kiutendaji hawako kitaifa ni usalama wa viongozi walafi wa mali za taifa. Ni chombo ambacho hakiko kwa ajili ya maslahi ya taifa bali yapo kwa ajili ya kuhakikisha genge la wezi wa mali za umma haliguswi na ninaamini hata anapotokea mwanakitengo kusimamia ukweli na kutaka mambo yaende inavyopaswa anapotezwa haraka sana.
Kwahiyo mpaka aparikane mzalendo wa kweli ili afumue mifumo yote ya kiulinzi ikae kitaifa zaidi. Kamq mpaka kina mzee Warioba leo hii serikali iliyopo madarakani haiwaoni kama ni wazalendo tunatakiwa kujua definition ya uzalendo imebadilika sana uzalendo kwasasa unapimwa na wanachokitaka kina Mafwele kwa maslahi yao.
Hakuna kitu jeshi la wananchi lililikosea taifa kama ile tarehe 29th October hapo ndo mambo yote yaliharibika na sijui nani ataliokoa tena hili taifa maana limetekwa na manyang'au na yana nguvu ya kipesa na ulinzi hakuna mfano.
HoNchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;
1. Kiuchumi
2. Kijamii
3. Kisiasa
Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana kwa usawa na vinakuwa na nafasi sawa ya kuunda serikali kwa kipindi fulani kwa mujibu wa Katiba. Vinakuwa na usawa kwenye kushindana kwenye uchaguzi na kupata nafasi ya kutangazwa kuwa washindi ili waunde Serikali.
Kinyume chake TISS imenajisi mfumo wa kisiasa kwa kukipendelea chama kimoja cha siasa ambacho ni CCM na kuruhusu Katiba kusiginwa na matakwa ya Wananchi kudhulumiwa. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa na Wananchi kwa sababu inaleta kinyongo na wananchi kuwaza njia mbadala za kutafuta demokrasia. Njia hizi zimeanza kuleta mauaji ya raia, kutekwa na kupotezwa kwa raia. Kiwango kikubwa cha utekaji na mauaji ya Wananchi kilichofanywa kuanzia mwaka 2017 hadi sasa ikiwemo kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 inaonesha kabisa kuwa nchi yetu haipo salama kisiasa.
Kwa upande wa kiuchumi ili nchi iwe salama inapaswa kuwa na mifumo imara ya kifedha, uchumi imara usiotetereka, usioharibiwa na rushwa na ufisadi pamoja na maendeleo ya kweli kwa Wananchi.
Hapa Tanzania nchi yetu ina kila kitu cha kuifanya kuwa Taifa tajiri zaidi na lenye maendeleo zaidi Afrika. Hii ni kutokana na uwepo wake kijiographia na uwepo na mito, bahari na rasilimali nyingi zingiwemo gesi, dhahabu na madini mbalimbali.
Ila kinyume chake nchi yetu ni masikini sana. Kutokana na rushwa inayofanywa kwenye miradi mikubwa ya kulifanya Taifa liwe na uchumi imara, miradi mingi imekuwa ikitekelezwa kwa hasara kiasi cha kufanya Taifa liwe kwenye hatari ya kiusalama kiuchumi. Miradi ya barabara, ujenzi wa majengo, maji, reli na kila sehemu imekuwa ikitekelezwa chini ya kiwango huku ikitumia fedha nyingi za walipakodi ambazo mwisho zimefanya miradi husika kuwa ya hasara kwa Taifa.
Sio hivyo tu kipaumbele kwenye miradi na usimamizi wake unaonesha kuwa Taifa linaendeshwa na watu wasio na akili. Miradi ya mwendokasi, vivuko, ndege, masoko na sasa SGR inaonesha kabisa kuwa nchi hii imeshajifia kutokana na kukosa ubora wa muda mrefu. Kwa kifupi hii nchi sio salama kabisa kiuchumi maana iko kwenye blink of collapse.
Kijamii ili jamii iwe salama kunapaswa kuwa na kuelewana baina ya wananchi wa dini mbalimbali na makabila mbalimbali. Dini zinapaswa kuachwa kukemea dhambi na dhuluma. Walimu wa mashuleni na vyuoni wanapaswa kuachwa huru kufanya tafiti halisi za matatizo ya wananchi na kupendekeza kwa uhuru suluhisho la matatizo hayo. Walimu pia wanapaswa kuachwa kuwafundisha Wanafunzi ukweli katika masomo yao huku wakitoa mifano hai na ya ukweli. Wananchi pia wanapaswa kuachwa kuwa huru kutoa mawazo yao bila hofu ya kulawitiwa, kutekwa, kuuwawa au kufunguliwa kesi za uongo.
Kinyume chake hapa nchini sasa TISS kwa kushirikiana na CCM wanazuia wananchi kuwa huru kutoa mawazo yao kwa uhuru. Wanawatisha na hata kuwakamata na kuwapoteza.
Kwa sasa nchini, TISS na ccm wanaendesha propaganda za hatari za kufarakanisha dini na Viongozi wa dini ili tu kulinda maslahi ya wanasiasa kisiasa. Kwa sasa wanawapangia hadi wachungaji, masheikh na mapadre wahubiri nini na wakemee dhambi gani. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Walimu mashuleni sasa wanapangiwa wafundishe nini wanafunzi wao na wawape mifano gani jambo ambalo linaenda kuua free thinking na kusababisha jamii iangamie maana bila fikra huru hapawezi kuwa na jamii imara. Historia ya dunia inaonesha matatizo ya wananchi duniani yalipatiwa ufumbuzi wa kudumu kupitia fikra huru.
Swali langu kwenu wanabodi Je kuna haja na faida tena ya kuendelea kuwepo kwa hiki chombo TISS nchini?
Haja ipo ndio ila katika mazingira wa kukisuka upya chini ya sheria kali ,Watasimamiaje wakati anayefanya madudu ni RAIS wakati wao (Dg)wanateuliwa na RAIS?.RAIS akikosea wanauwezo wa kumwambia ukweli?Tunatakiwa tuwe na katiba ambayo inawafanya wafanyekazi bila kumwogopa RAIS na pia katiba hiyo iwe inawawajibisha pale wanapotenda kinyume na taratibu kuanzia RAIS mwenyewe pamoja na wafanyakazi wengine.
INchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;
1. Kiuchumi
2. Kijamii
3. Kisiasa
Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana kwa usawa na vinakuwa na nafasi sawa ya kuunda serikali kwa kipindi fulani kwa mujibu wa Katiba. Vinakuwa na usawa kwenye kushindana kwenye uchaguzi na kupata nafasi ya kutangazwa kuwa washindi ili waunde Serikali.
Kinyume chake TISS imenajisi mfumo wa kisiasa kwa kukipendelea chama kimoja cha siasa ambacho ni CCM na kuruhusu Katiba kusiginwa na matakwa ya Wananchi kudhulumiwa. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa na Wananchi kwa sababu inaleta kinyongo na wananchi kuwaza njia mbadala za kutafuta demokrasia. Njia hizi zimeanza kuleta mauaji ya raia, kutekwa na kupotezwa kwa raia. Kiwango kikubwa cha utekaji na mauaji ya Wananchi kilichofanywa kuanzia mwaka 2017 hadi sasa ikiwemo kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 inaonesha kabisa kuwa nchi yetu haipo salama kisiasa.
Kwa upande wa kiuchumi ili nchi iwe salama inapaswa kuwa na mifumo imara ya kifedha, uchumi imara usiotetereka, usioharibiwa na rushwa na ufisadi pamoja na maendeleo ya kweli kwa Wananchi.
Hapa Tanzania nchi yetu ina kila kitu cha kuifanya kuwa Taifa tajiri zaidi na lenye maendeleo zaidi Afrika. Hii ni kutokana na uwepo wake kijiographia na uwepo na mito, bahari na rasilimali nyingi zingiwemo gesi, dhahabu na madini mbalimbali.
Ila kinyume chake nchi yetu ni masikini sana. Kutokana na rushwa inayofanywa kwenye miradi mikubwa ya kulifanya Taifa liwe na uchumi imara, miradi mingi imekuwa ikitekelezwa kwa hasara kiasi cha kufanya Taifa liwe kwenye hatari ya kiusalama kiuchumi. Miradi ya barabara, ujenzi wa majengo, maji, reli na kila sehemu imekuwa ikitekelezwa chini ya kiwango huku ikitumia fedha nyingi za walipakodi ambazo mwisho zimefanya miradi husika kuwa ya hasara kwa Taifa.
Sio hivyo tu kipaumbele kwenye miradi na usimamizi wake unaonesha kuwa Taifa linaendeshwa na watu wasio na akili. Miradi ya mwendokasi, vivuko, ndege, masoko na sasa SGR inaonesha kabisa kuwa nchi hii imeshajifia kutokana na kukosa ubora wa muda mrefu. Kwa kifupi hii nchi sio salama kabisa kiuchumi maana iko kwenye blink of collapse.
Kijamii ili jamii iwe salama kunapaswa kuwa na kuelewana baina ya wananchi wa dini mbalimbali na makabila mbalimbali. Dini zinapaswa kuachwa kukemea dhambi na dhuluma. Walimu wa mashuleni na vyuoni wanapaswa kuachwa huru kufanya tafiti halisi za matatizo ya wananchi na kupendekeza kwa uhuru suluhisho la matatizo hayo. Walimu pia wanapaswa kuachwa kuwafundisha Wanafunzi ukweli katika masomo yao huku wakitoa mifano hai na ya ukweli. Wananchi pia wanapaswa kuachwa kuwa huru kutoa mawazo yao bila hofu ya kulawitiwa, kutekwa, kuuwawa au kufunguliwa kesi za uongo.
Kinyume chake hapa nchini sasa TISS kwa kushirikiana na CCM wanazuia wananchi kuwa huru kutoa mawazo yao kwa uhuru. Wanawatisha na hata kuwakamata na kuwapoteza.
Kwa sasa nchini, TISS na ccm wanaendesha propaganda za hatari za kufarakanisha dini na Viongozi wa dini ili tu kulinda maslahi ya wanasiasa kisiasa. Kwa sasa wanawapangia hadi wachungaji, masheikh na mapadre wahubiri nini na wakemee dhambi gani. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Walimu mashuleni sasa wanapangiwa wafundishe nini wanafunzi wao na wawape mifano gani jambo ambalo linaenda kuua free thinking na kusababisha jamii iangamie maana bila fikra huru hapawezi kuwa na jamii imara. Historia ya dunia inaonesha matatizo ya wananchi duniani yalipatiwa ufumbuzi wa kudumu kupitia fikra huru.
Swali langu kwenu wanabodi Je kuna haja na faida tena ya kuendelea kuwepo kwa hiki chombo TISS nchini?
Haja ipo ya chombo ichi muhimu , kwa taifa lolote Duniani ,ila hapa kwetu ni lazima sukwa upya katika standard, za kimatifa, chini ya kanuni na sheria bora , sio ujinga ,ujinga.Watasimamiaje wakati anayefanya madudu ni RAIS wakati wao (Dg)wanateuliwa na RAIS?.RAIS akikosea wanauwezo wa kumwambia ukweli?Tunatakiwa tuwe na katiba ambayo inawafanya wafanyekazi bila kumwogopa RAIS na pia katiba hiyo iwe inawawajibisha pale wanapotenda kinyume na taratibu kuanzia RAIS mwenyewe pamoja na wafanyakazi wengine.
JAMAA inasemekana anamiliki migodi ya dhahabu ndiyo maana ni tajiri sana
Mkuu kwani unafikiri kumiliki leseni ya maeneo ya madini ni bei kubwa? Ni kama shs Laki Tatu hadi Tano tu. Sasa ukiwa na bahati madini yakapatikana kwenye eneo lako wawekezaji wapo kibao.Kaipataje hiyo migodi ya dhahabu??? Huyu ni fisadi tu kina Mzee Mzena hawakutufundisha tuwe mafisadi walitufundisha tuwapende watanganyika whatever any government is in power, sisi ni kuwapenda na kuwatumikia watanzania kwa upendo na kujitoa kwa Kila kitu.
😂😂😂 sasa hivi nafanya kazi kwa mkataba, ni jasusi wa kujitegemea.
Kwa sasa hakuna. Iundwe upyq, sheria zibadilishwe isiwe puppet wa ccm. Tiss iko chini ya rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm unategemea nnNchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;