Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

Anyway kutetea tiss kwa sasa ni ngumu au we unaoonaje
TISS wataendelea kuwepo milele na milele. TISS wapo kwenye kila sector ya kijamii, wakulima, bodaboda, wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, n.k. Kwahiyo ukisema hawafai maana yake ni watz wote hawafai kitu ambacho hakiwezekani. Nyinyi mnalalamika kwenye mlengo mmoja unaowahusu tu lakini ni zaidi ya hapo. Sijui kama utakuwa umenielewa!!
 
Halafu wewe ndio unafaa unayetaka wazungu waje kuongoza nchi hii!!? Slavery mentality inakusumbua sisi tunaojitambua hatutakubali kama ambavyo tumekataa uhuni wenu wa kutaka kupingua Serikali tarehe 29 October 2025
Kwako wewe watoto wakienda chooni na mkeo akavaa kijola kipya ni amani?

Hivi unawajua wahuni wanao teka kufira na kuua raia wasio na hatia?

Au mpaka waje wakufilimbe wewe na familia yako ujue kuna wahuni?
Pimbi wee!
 
Hizo shule unazosema ulishawahi kumuona mtoto wa afisa elimu,mkuu wilaya,waziri anasoma?Hizo shule ni Kwa ajili ya TABAKA la kutumiwa na watawala kama dekio ili wao waendelee kuneemeka na wewe kubaki mpiga mdomo tu wa mapambio
Nimesoma na watoto wa afisa elimu na wakuu wa wilaya,pale minaki nilisoma na mtoto wa kinana
Shule za kulipia hawasomi watoto wa viongozi tu, mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake
 
Na mabadiliko ya hiyo mifumo hayawezi kuja kwa kupigiana magoti namna hii, hapo yanatakiwa mapinduzi tuu tena mapinduzi makubwa ,lazima kuna kundi lijitoe muhanga bila hivyobni ngumu sanabmtu kutema ndoano kirahisi
 
Miradi yote

Huoni mwendokasi? Nani alisema ijengwe vile? Nani alisema ijengwe yard Jangwani?
Mwendokasi ina shida gani?
Huoni SGR? Huoni mvua kidogo tu imesitisha safari kwa madaraja kuathiriwa na mvua?
Unaweza thibitisha madaraja kuathiriwa?
Huoni vivuko vinavyojengwa kwa bei mbaya vinavyoharibika na kuendeshwa hovyo?
Kivuko gani kilijengwa kwa bei mbaya na kimeharibika
Huoni Bandari?
Bandari imefanyaje?
Huoni barabara zinavyojengqa chini ya kiwango? Umepita barabara ya Dar- Dodoma - Mwanza?
Dodoma-mwanza ilijengwa 2005,imechakaa,dar-dom ni kongwe kuliko Dom-mwanza
Dar- Lindi - Mtwara?

Umepita barabara ya Dodoma- Iringa? Umeona barabara za mitaani zilivyo chini ya kiwango?
Barabara za mitaani hazijengwi kwa viwango vya barabara za tanroad
 
Kwako wewe watoto wakienda chooni na mkeo akavaa kijola kipya ni amani?

Hivi unawajua wahuni wanao teka kufira na kuua raia wasio na hatia?

Au mpaka waje wakufilimbe wewe na familia yako ujue kuna wahuni?
Pimbi wee!
Wanaotekwa na kufirwa ni wenye maneno kama yako uliyosema hapa. Kwanini usitekwe na kufirwa kwa maneno ya kijinga kama yako hayo.
 

TISS lazima iwepo lakini si chini ya huyu Mombo, maana katika Chief Spies wote waliopita TISS, huyu mjamaa ana utajiri wa kutosha kuliko wote na kaupata utajiri huo kupitia chombo chetu cha Dola

Afukuzwe haraka sana ikibidi auwawe kabisa na Mali zake zitaifishwe
 
Mkuu anamali gani weka hapa orodha tuone.
 
JAMAA inasemekana anamiliki migodi ya dhahabu ndiyo maana ni tajiri sana
 
Ho Haja ipo ndio ila katika mazingira wa kukisuka upya chini ya sheria kali , I Haja ipo ya chombo ichi muhimu , kwa taifa lolote Duniani ,ila hapa kwetu ni lazima sukwa upya katika standard, za kimatifa, chini ya kanuni na sheria bora , sio ujinga ,ujinga.

Kiwepo ila kiwe na mantiki , ni muhimu kwa kila nchi
 
Kwasasa kuna Usalama wa CCM sio wa Taifa
 
JAMAA inasemekana anamiliki migodi ya dhahabu ndiyo maana ni tajiri sana

Kaipataje hiyo migodi ya dhahabu??? Huyu ni fisadi tu kina Mzee Mzena hawakutufundisha tuwe mafisadi walitufundisha tuwapende watanganyika whatever any government is in power, sisi ni kuwapenda na kuwatumikia watanzania kwa upendo na kujitoa kwa Kila kitu.
 
Mkuu kwani unafikiri kumiliki leseni ya maeneo ya madini ni bei kubwa? Ni kama shs Laki Tatu hadi Tano tu. Sasa ukiwa na bahati madini yakapatikana kwenye eneo lako wawekezaji wapo kibao.

Unaweza ukawa masikini mwaka huu mwaka ujao ukawa tajiri wa kutupwa. Watz wengi hawajui hawataki kununua leseni za maeneo ya madini mapema.
 
TISS ni kikundi cha makada wa veggies.

Kama sasa hivi nchi inaendeshwa na polisi dah ๐Ÿ˜น๐Ÿšฎ
Simbachawene hasikilizwi kwa lolote ingawa ni boss wao..!!

Kuna muda nacheka kwa uchungu mambo yanavyoenda nchini..!!
 
Kwa sasa hakuna. Iundwe upyq, sheria zibadilishwe isiwe puppet wa ccm. Tiss iko chini ya rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm unategemea nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ