Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

Dunia hii unaweza kusema una kila kitu na una kila aina ya uwezo.

Ila matokeo ya uwezo wako, huwa siyo SIRI.

Kila mtu timamu anaona ni ZERO kabisa.
Yaaani wana kazi hadi za kuiba chaguzi za Serikali za Mitaa ili CCM ishinde. Hii ndo idara ya Ujasusi eti. kudadeki
 
Kwa sasa hakuna. Iundwe upyq, sheria zibadilishwe isiwe puppet wa ccm. Tiss iko chini ya rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm unategemea nn
Yaaani wanaitumikia ccm na wako royal kwa ccm kuliko kwa Taifa na wananchi. Pathetic kabisa
 
Kuiba kwenyewe hawajui.

Wamempa Samia kura milioninm 31.

Mpaka zuzu anawaona mazuzu.
Ukiwaona Mwambegele na Kailima walivyo alafu unaambiwa wale ndo senior officers wa TISS unajisemea tu kama nchi imefikia kuwa na watu kama wale ndo TISS na wanayofanya ndo yale kweli sie tumeshajifia kilichobaki ni kuzikwa tu.
 
Unaambiwa ngonjera za kuwakusanya Makahaba wa kinondoni kuwapeleka Ubalozi wa Vatican kujifanya ni wakatoliki Leo zimeratibiwa na TISS
 
Kwa maslahi tu ya CCM yangu sawa, iwepo
Kwa maslahi tu ya chama changu CCM sawa.

Ila kwa maslahi ya taifa na nchi yangu Tanganyika, hapana hawana haja Wala sababu ya kuwepo.
. Ila kwa maslahi ya taifa na nchi yangu Tanganyika hawana sababu kabisa ya kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…