Tujadiliane JF kuhusu hili: Wewe ulitegemea nani awe Chief Justice?

Tujadiliane JF kuhusu hili: Wewe ulitegemea nani awe Chief Justice?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tupeane mawazo kidogo maana tumekuwa stunned na what happened!

Mimi Nilitegemea hawa (but not limited to) kwa kusoma hukumu zao and their power of reasoning being very high!
1. Mugasha, Mkuye, Mwandambo, Mwarija
 
siku zote wewe unaleta utani. Mayalla siyo practising lawyer.
Kuna swali nataka nikuuliz lakini kwa vile wewe ni ccm na mnafiki unaweza ukaligeuza. wakati ukifika nitakuuliza
Msamehe ameshalewa tayari wikiendi hii huwa hawagi na akili
 
Back
Top Bottom