Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Rudia kusoma uzi boss. Huo umeme wote (62%) ni wa gesi.Issue ni bei ya gesi. Kumbuka gesi ni mali ya wenyewe, si mali ya taifa. Unaweza kuta unit moja inazalishwa kwa sh 500. Ukiuzwa kwa bei ya soko watu watamudu kuununua huo umeme?
Unafahamu bei ya hiyo gesi?Rudia kusoma uzi boss. Huo umeme wote (62%) ni wa gesi.
Ajitahidi akujibu kwanza hili swali.Unafahamu bei ya hiyo gesi?
Naunga mkono hoja na hili ndilo lengo la JMNi kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.
Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.
Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.
Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi. Asilimia 38 inayobakia unatokana na vyanzo vingine kama maji n.k.
Katika swala la ukame hatuwezi kusubiri mabwawa yajae baada ya mvua kunyesha ndio uzalishaji wa umeme uongezeke hapo tutakua tunachelewa.
Hapo solution ni kuongeza uzalishaji wa umeme unaotokana na gesi.
Tuongeze uzalishaji wa gesi na pia tuongeze turbine zingine kwaajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi.
Shukrani sanaNaunga mkono hoja na hili ndilo lengo la JM
Msikilize hapaP
Shida sio kuwa na gas, Ila shida n kuwa na umiliki wa hiyo gesiNi kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.
Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.
Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.
Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi. Asilimia 38 inayobakia unatokana na vyanzo vingine kama maji n.k.
Katika swala la ukame hatuwezi kusubiri mabwawa yajae baada ya mvua kunyesha ndio uzalishaji wa umeme uongezeke hapo tutakua tunachelewa.
Hapo solution ni kuongeza uzalishaji wa umeme unaotokana na gesi.
Tuongeze uzalishaji wa gesi na pia tuongeze turbine zingine kwaajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi.
Gesi ndio tunayotumia kuzalishia umeme umiliki sio tatizo. Huo umeme unaotumia ni wa gesi. Na bei ni moja na wa maji.Shida sio kuwa na gas, Ila shida n kuwa na umiliki wa hiyo gesi
Vyema, wewe kama mwandishi nguli bila shaka utakuwa unajua gharama ya kuzalisha huo umeme wa gesi.Naunga mkono hoja na hili ndilo lengo la JM
P
Gharama za nini tena mkuu. Umeme wa gesi ndio huo unaotumia kila siku. Hapo ni kuongeza turbine zingine zinazofua umeme kwa kutumiakutumia gesi.Vyema, wewe kama mwandishi nguli bila shaka utakuwa unajua gharama ya kuzalisha huo umeme wa gesi.
Tuwekee hapa tafadhali.
Hivi wewe una kiwango gani cha elimu?! Unaonekana mjinga sana.Gharama za nini tena mkuu. Umeme wa gesi ndio huo unaotumia kila siku. Hapo ni kuongeza turbine zingine zinazofua umeme kwa kutumia.
Nina form four boss. Lakini unakielewa ulichoomba? Umeomba vitu ambavyo vinafanyika Kinyerezi I, Kinyerezi II na Songas Ubungo.Hivi wewe una kiwango gani cha elimu?! Unaonekana mjinga sana.