Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.

Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.

Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.

Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi. Asilimia 38 inayobakia unatokana na vyanzo vingine kama maji n.k.

Katika swala la ukame hatuwezi kusubiri mabwawa yajae baada ya mvua kunyesha ndio uzalishaji wa umeme uongezeke hapo tutakua tunachelewa.

Hapo solution ni kuongeza uzalishaji wa umeme unaotokana na gesi.

Tuongeze uzalishaji wa gesi na pia tuongeze turbine zingine kwaajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi.
 
Issue ni bei ya gesi. Kumbuka gesi ni mali ya wenyewe, si mali ya taifa. Unaweza kuta unit moja inazalishwa kwa sh 500. Ukiuzwa kwa bei ya soko watu watamudu kuununua huo umeme?
 
Rudia kusoma uzi boss. Huo umeme wote (62%) ni wa gesi.
 
Kama uko sijui wapi!!?. au unaongea kwa phone!..?
 
Shida ni bei ya gesi inayouziwa tanesco.

Ni kweli 62% ya umeme unaozalishwa ni wa gesi ila ni gharama kubwa sana.

Kwa uhalisia Tanzania hatukutakiwa kua na mitambo ya gesi kuzalisha umeme, sio size yetu.

Nchi tajiri ndio wanawezana na gesi, nchi kama za kiarabu wana pesa ya mafuta ila sio Tanzania. Tanzania mitambo ya gesi tuliingia cha kike.
 
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.

Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.

Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.

Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi. Asilimia 38 inayobakia unatokana na vyanzo vingine kama maji n.k.

Katika swala la ukame hatuwezi kusubiri mabwawa yajae baada ya mvua kunyesha ndio uzalishaji wa umeme uongezeke hapo tutakua tunachelewa.

Hapo solution ni kuongeza uzalishaji wa umeme unaotokana na gesi.

Tuongeze uzalishaji wa gesi na pia tuongeze turbine zingine kwaajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi.
Naunga mkono hoja na hili ndilo lengo la JM
Msikilize hapa
P
 
Shida sio kuwa na gas, Ila shida n kuwa na umiliki wa hiyo gesi
 
Vyema, wewe kama mwandishi nguli bila shaka utakuwa unajua gharama ya kuzalisha huo umeme wa gesi.

Tuwekee hapa tafadhali.
Gharama za nini tena mkuu. Umeme wa gesi ndio huo unaotumia kila siku. Hapo ni kuongeza turbine zingine zinazofua umeme kwa kutumiakutumia gesi.
 
Hivi wewe una kiwango gani cha elimu?! Unaonekana mjinga sana.
Nina form four boss. Lakini unakielewa ulichoomba? Umeomba vitu ambavyo vinafanyika Kinyerezi I, Kinyerezi II na Songas Ubungo.

Labda kama unataka kuwekeza plant ya kufua umeme kwa kutumia gesi. Kama ni hivyo unaweza kwenda TANESCO, au SONGAS watakupatia taarifa zote.
 
Back
Top Bottom