johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Fat chance!!!
Mis appropriation of public funds ni criminal na si kufuta chama.
Anayehusika inabidi anafunguliwa mashtaka.
Chama kina kosa gani?
Tuwe logical!!
.Mbona huko mbali, waifute cdm hata leo. Wananchi walishaamka na haiwataki ccm. Hata zitumike mbinu chafu kiasi gani, lakini tumeshaamka. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, kizazi hiki sio cha ccm tena.
Kwa hiyo unataka kuthibitisha kuwa chadema ni chama cha wapi gaji kwa sasa kizazi hiki cha kina Mbowe kimepiga hela kama hizo ndio sifa za kizazi kipya jombaMbona huko mbali, waifute cdm hata leo. Wananchi walishaamka na haiwataki ccm. Hata zitumike mbinu chafu kiasi gani, lakini tumeshaamka. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, kizazi hiki sio cha ccm tena.
Mimi nadhani mngekuwa na busara mngehangaika kutatua kero za wananchi ili kuondoa fikra za mabadiliko.Leo mkiiua chadema kesho kitaibuka chama kingine upinzani upo kwenye mioyo ya watu na sio kwenye chama.
Mbona huko mbali, waifute cdm hata leo. Wananchi walishaamka na haiwataki ccm. Hata zitumike mbinu chafu kiasi gani, lakini tumeshaamka. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, kizazi hiki sio cha ccm tena.
Washabiki wa chadema wataenda kwa Dovutwa au kwa hashim RungweTukijua hii itakuwa the last attempt ya CCM na serikali yake kuondoa upinzani halisi baada ya kila effort nyingine zote kukwama.
You can strike off the name CHADEMA from the Registrar of Companies Book, but never from the hearts of a new generation of Tanzanians seeking serious change. CCM is playing with fire!!
Kwa hiyo unataka kuthibitisha kuwa chadema ni chama cha wapi gaji kwa sasa kizazi hiki cha kina Mbowe kimepiga hela kama hizo ndio sifa za kizazi kipya jomba
Mkuu umeongea point Kali Sana. Chama hakiwezi kufuja fedha ila Kuna baadhi watu ndani ya vyama ndo mabaradhuri yanatafuna ruzuku bila kufuata taratibu. Hao ndo washughulikiwe wasio na makosa waendeleze vyama vyao maana vipo kikatiba.Itakuwa makosa kuifuta chadema badala ya kuwashugulikia waliotafuna pesa