NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Acha kuwasingizia wananchi.Mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli anasimamishwa na wananchi kwenye misafara yake. Wananchi wanalia kwa furaha wengine wanazimia.Mbona huko mbali, waifute cdm hata leo. Wananchi walishaamka na haiwataki ccm. Hata zitumike mbinu chafu kiasi gani, lakini tumeshaamka. CCM ni chama cha kizazi kilichopita, kizazi hiki sio cha ccm tena.
Wewe unasema nini?