Ni wazi akili zako haziko sawa umejikita kwenye ushabiki wa kijinga kuliko kuwa na uwelewa wa kina juu ya unachokiandika. Tumeshuhudia kashfa mbalimbali za wizi wa fedha kam vile RICHMOND, DOWANS, EPA, ESCROW nk. katika kashfa hizo ni chama au taasisi gani ilifutwa? na je ni chombo gani cha ukaguzi wa fedha kinachoaminika na serikali na Bunge na ambacho kikitoa taarifa zake zinatakiwa zifanyiwe kazi? nafikiri unajuwa wazi ni CAG. Nikuulize je katika taarifa ya CAG juu ya vyama vya siasa ni chama au vyama gani vyenye HATI CHAFU? ukipata jibu juu ya taarifa ya CAG utajua ni chama au vyama vipi vinatakiwa vichukuliwe hatua kutokana na matumizi mabaya ya fedha za vyama ikiwemo na RUZUKU.