Tujiandae kisaikolojia: Kama itathibitika pasi na shaka kuwa CHADEMA ilitumia ruzuku kinyume na sheria, Msajili atakifuta

Kero za wananchi ni pamoja na kuzuia wizi wa ruzuku ya vyama ambavyo ni mali ya wananchi kwa kuwa vinapata ruzuku yao
Na wanafanya wizi katika pesa hiyo. Vipi bwashee hata picha tu huoni wala kuelewa?
CAG Kila mwaka anawakagua na kuwapa hati Safi na huo uwizi CAG auonagi acha uzwazwa
 
Ukiona hivi ujue Ile attempt ya kina lijualikali imegoma, anayetakiwa adhibitishe hivyo kwamba chadema ni waizi ni CAG, Cha ajabu amekua akiwapa hati Safi
 
Ni vema tukalielewa hili mapema wakati uchunguzi kuhusu matumizi ya ruzuku kwa vyama mbalimbali ukiendelea.

Wabunge wa Chadema wameeleza wazi kuwa matumizi ya ruzuku ndani ya chama hicho kwa muda mrefu yamekuwa ya "kienyeji" mno.

Tusisahau kuwa Mh. Komu aliwahi kuwa mtunza hazina wa Chadema na Dr. Mashinji aliwahi kuwa Katibu Mkuu.

Hivyo ikithibitika pasipo shaka kwamba ruzuku imekuwa ikiliwa na wajanja "wawili watatu" basi Msajili wa vyama ataifuta Chadema kutoka Daftari la vyama vya siasa.

Maendeleo hayana vyama!
Ni wazi akili zako haziko sawa umejikita kwenye ushabiki wa kijinga kuliko kuwa na uwelewa wa kina juu ya unachokiandika. Tumeshuhudia kashfa mbalimbali za wizi wa fedha kam vile RICHMOND, DOWANS, EPA, ESCROW nk. katika kashfa hizo ni chama au taasisi gani ilifutwa? na je ni chombo gani cha ukaguzi wa fedha kinachoaminika na serikali na Bunge na ambacho kikitoa taarifa zake zinatakiwa zifanyiwe kazi? nafikiri unajuwa wazi ni CAG. Nikuulize je katika taarifa ya CAG juu ya vyama vya siasa ni chama au vyama gani vyenye HATI CHAFU? ukipata jibu juu ya taarifa ya CAG utajua ni chama au vyama vipi vinatakiwa vichukuliwe hatua kutokana na matumizi mabaya ya fedha za vyama ikiwemo na RUZUKU.
 
Subiri rungu la msajili ndio utaelewa kwanini CAG na Takukuru zilimkabidhi Rais Magufuli ripoti tofauti za taasisi zao.

Chadema imeishiwa pumzi by Lijualikali!
 
Kero za wananchi ni pamoja na kuzuia wizi wa ruzuku ya vyama ambavyo ni mali ya wananchi kwa kuwa vinapata ruzuku yao
Na wanafanya wizi katika pesa hiyo. Vipi bwashee hata picha tu huoni wala kuelewa?
Inategemeana ni picha ipi
 
Back
Top Bottom