Tujiandae kisaikolojia: Kama itathibitika pasi na shaka kuwa CHADEMA ilitumia ruzuku kinyume na sheria, Msajili atakifuta

Tujiandae kisaikolojia: Kama itathibitika pasi na shaka kuwa CHADEMA ilitumia ruzuku kinyume na sheria, Msajili atakifuta

johnthebaptist,

Kila jambo huwa na chanzo chake. Mtakuja sababisha machafuko na mauaji ya kibari msipokuwa na tahadhari kubwa.

Hawa mnaowaonea ni binaadam na wana nyongo. Siku nyongo ikipasuka, mtatafuta pa kukimbilia
Hayo mauaji ya kimbari yasababibishwe na nini labda? Au baadhi ya viongozi na wanachama wa chadema kwa matumizi mabaya ya ruzuku na yasioeleweka yanayofanywa na mweyekiti wa chama(mwamba) au hama hama ya wabunge wa chadema? Au kitu gani hasa fafanua sijakuelewa bado! Mauaji ya kimbari yanaingiaje ktk mada kama hii!
 
Hata Mugabe na Elbashir walikaa madarakani miaka 30+ kwa kujifanya wananchi wanawapenda, na wao walikuwa wanashinda uchaguzi kama wanavyoshinda uchaguzi ccm sasa hivi. Ilipofika siku ya siku wananchi wakaona imetosha.
Hapana ni vile mabeberu ambao hata leo hii Tanzania tunawapiga vita.Wanatabia ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuvuruga amani.mfano ni kama libya.
 
Kuna ishu inayohusisha vitu viwili hapo. Kuna criminal na ishu ya chama kama sheria ya vyama vya siasa inavyosema. Kwa hiyo kuna chama kufutwa na wahusika kuburutwa mahakamani.
Mkuu chama kinafutwa kama sera zake wazi wazi zinahatarisha umoja wa kitaifa misingi ya nchi
Tuielewe katiba wajameni
 
Hizo zote ni vurugu za mfa maji.
Wakati ni ukuta.
CCM kama wanataka wadumu hata miaka 100 ijayo wabadili mbinu. Kama zama zilivyowalazimisha kuruhusu vyama vingine ndivyo sasa watakavyolazimika kubadili siasa.
Hii nguvu haitegemei utashi wao wala mapenzi yao. Mpaka sasa bidii yao ya kushusha presha ya nje na ndani kwa mbinu zote nzuri na ovu hayajafanikiwa. Upinzani haujafa unazidi kujitafsiri kila hatua.
Kama leo isivyorahisi kuendesha farasi highway na farasi wapo, ndivyo wanavyolazimika kubadilika.
Huu ubaridi wa glass usiwadanganye maji ni maji ni ya vuguvugu.
 
Hapana ni vile mabeberu ambao hata leo hii Tanzania tunawapiga vita.Wanatabia ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuvuruga amani.mfano ni kama libya.

Mnawapiga vita hao mabeberu maana wanahakikisha watawala hauwaumizi wenye mitazamo mbadala.
 
Id
Ikithibitika niwezi wakifute tuu hatutaki taasisi za wiziwizi... Chadema inaendeshwa kiujanjaujanja tuu ndomana wasomi hawadumu Bali tuvijana tusela tusela tunaotumika kuchafua watu mfano msigwa dhidi ya kinana ama tumbili na werema!!
I'd nyingine ya kudharau jf besides jingalao bia yetu na elitwege
 
Hao wabunge wanaosema ruzuku imetumika vibaya ni wakina nani? Lijualilimoto ama.
 
Ulitumwa utingishe kiberiti? Ndio mjue chadema inapendwa na wasomi na watu wanao reason je ulitegemea jibu Kama Hilo? Sasa waliokutuma kawarudishie majibu johnthebaptist
Nimemuelewa alichomaanisha kuhusu jinai lakini fedha ya ruzuku inapoliwa kupitia vikao vya chama huo siyo wizi ni uhujumu uchumi so chama kinafutwa na wahusika kufikishwa mahakamani.

Subiri Mbowe atoke Takukuru mtaelewa tu!
 
Kufutwa chadema sio ishu wala sio ushindi kwa yeyote sanasana ni maangamizi ya ustawi wa taifa Leo mnashangilia chadema inayofanyiwa ila kumbukeni ipo siku mtaitafuta iwatetee na kuwasemea hamtaiona. Muulize nape makamba na kinana ndio wataelewa hili nilisemalo CCM ni zimwi lililopo kwenye chupa msimu wa chaguzi unapokaribia ngoja msimu huu upite zimwi lianze kula wote waliolipigania ndio mtaelewa Nini maana ya kuheshimu haki na kumsemea yeyote anayeonewa kwasababu itafika zamu yako utakosa mtetezi maana utakuwa ulishashiriki kuuwa watetezi. Karma is really.
 
Kama CAG amethibitisha chadema wko clean nani wakumbishia????Acheni ujinga mazee!!!huo ni zaidi ya uchawi!!!
 
Ikithibitika niwezi wakifute tuu hatutaki taasisi za wiziwizi... Chadema inaendeshwa kiujanjaujanja tuu ndomana wasomi hawadumu Bali tuvijana tusela tusela tunaotumika kuchafua watu mfano msigwa dhidi ya kinana ama tumbili na werema!!

Hivi tumbili bado yuko Chadema?
 
Back
Top Bottom