johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Subiri Mbowe akitoka Takukuru ndio utaelewa!Yaani watu wa system mnashinda mitandaoni kuandika utumbo wakati mnalipwa an serikali/wananchi. CAG Kazi yake ni nini
Hayo mauaji ya kimbari yasababibishwe na nini labda? Au baadhi ya viongozi na wanachama wa chadema kwa matumizi mabaya ya ruzuku na yasioeleweka yanayofanywa na mweyekiti wa chama(mwamba) au hama hama ya wabunge wa chadema? Au kitu gani hasa fafanua sijakuelewa bado! Mauaji ya kimbari yanaingiaje ktk mada kama hii!johnthebaptist,
Kila jambo huwa na chanzo chake. Mtakuja sababisha machafuko na mauaji ya kibari msipokuwa na tahadhari kubwa.
Hawa mnaowaonea ni binaadam na wana nyongo. Siku nyongo ikipasuka, mtatafuta pa kukimbilia
Hapana ni vile mabeberu ambao hata leo hii Tanzania tunawapiga vita.Wanatabia ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuvuruga amani.mfano ni kama libya.Hata Mugabe na Elbashir walikaa madarakani miaka 30+ kwa kujifanya wananchi wanawapenda, na wao walikuwa wanashinda uchaguzi kama wanavyoshinda uchaguzi ccm sasa hivi. Ilipofika siku ya siku wananchi wakaona imetosha.
Mkuu chama kinafutwa kama sera zake wazi wazi zinahatarisha umoja wa kitaifa misingi ya nchiKuna ishu inayohusisha vitu viwili hapo. Kuna criminal na ishu ya chama kama sheria ya vyama vya siasa inavyosema. Kwa hiyo kuna chama kufutwa na wahusika kuburutwa mahakamani.
Hapana ni vile mabeberu ambao hata leo hii Tanzania tunawapiga vita.Wanatabia ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuvuruga amani.mfano ni kama libya.
Ulitumwa utingishe kiberiti? Ndio mjue chadema inapendwa na wasomi na watu wanao reason je ulitegemea jibu Kama Hilo? Sasa waliokutuma kawarudishie majibu johnthebaptistNimekuelewa bwashee!
Acha maneno jamaa yangu,mbona unamaneno mengi?Mnawapiga vita hao mabeberu maana wanahakikisha watawala hauwaumizi wenye mitazamo mbadala.
I'd nyingine ya kudharau jf besides jingalao bia yetu na elitwegeIkithibitika niwezi wakifute tuu hatutaki taasisi za wiziwizi... Chadema inaendeshwa kiujanjaujanja tuu ndomana wasomi hawadumu Bali tuvijana tusela tusela tunaotumika kuchafua watu mfano msigwa dhidi ya kinana ama tumbili na werema!!
Nimemuelewa alichomaanisha kuhusu jinai lakini fedha ya ruzuku inapoliwa kupitia vikao vya chama huo siyo wizi ni uhujumu uchumi so chama kinafutwa na wahusika kufikishwa mahakamani.Ulitumwa utingishe kiberiti? Ndio mjue chadema inapendwa na wasomi na watu wanao reason je ulitegemea jibu Kama Hilo? Sasa waliokutuma kawarudishie majibu johnthebaptist
Kufutwa chadema sio ishu wala sio ushindi kwa yeyote sanasana ni maangamizi ya ustawi wa taifa Leo mnashangilia chadema inayofanyiwa ila kumbukeni ipo siku mtaitafuta iwatetee na kuwasemea hamtaiona. Muulize nape makamba na kinana ndio wataelewa hili nilisemalo CCM ni zimwi lililopo kwenye chupa msimu wa chaguzi unapokaribia ngoja msimu huu upite zimwi lianze kula wote waliolipigania ndio mtaelewa Nini maana ya kuheshimu haki na kumsemea yeyote anayeonewa kwasababu itafika zamu yako utakosa mtetezi maana utakuwa ulishashiriki kuuwa watetezi. Karma is really.Nimemuelewa alichomaanisha kuhusu jinai lakini fedha ya ruzuku inapoliwa kupitia vikao vya chama huo siyo wizi ni uhujumu uchumi so chama kinafutwa na wahusika kufikishwa mahakamani.
Subiri Mbowe atoke Takukuru mtaelewa tu!
Ni zile nyaraHao wabunge wanaosema ruzuku imetumika vibaya ni wakina nani? Lijualilimoto ama.
Ikithibitika niwezi wakifute tuu hatutaki taasisi za wiziwizi... Chadema inaendeshwa kiujanjaujanja tuu ndomana wasomi hawadumu Bali tuvijana tusela tusela tunaotumika kuchafua watu mfano msigwa dhidi ya kinana ama tumbili na werema!!
Ngedere ni RAS mkoa fulani hivi Nyanda za juu hukoHivi tumbili bado yuko Chadema?
Tumbiri yuko CCM mkewe ni mbunge huko Chadema!Hivi tumbili bado yuko Chadema?