Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
HahahHili fog la asubuhi uwaga hata sioni mbele 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahHili fog la asubuhi uwaga hata sioni mbele 😂😂
UMBALI KUTOKA DUNIANI HADI KWENYE JUA NI 8 LIGHT MINUTE NA SIO 5 LIGHT MINUTE.CHUKUA TAHADHALI MAPEMA DHIDI YA
KUANZIA LEO 08/07/2023, saa 5:27 asubuhi, tutapitia kipindi cha APHELION PHENOMENON, ambapo Dunia itakuwa mbali sana na Jua Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari yake. Hii itaendelea hadi Agosti. Tutakuwa na hali ya hewa ya baridi zaidi kuliko hali ya hewa ya baridi iliyotangulia, ambayo itaathiri mafua, kikohozi, upungufu wa pumzi, nk. Kwa hiyo sote tuongeze kinga kwa kunywa au kuchukua vitamini nyingi na/au virutubisho ili kinga yetu iwe imara.
Umbali kutoka duniani hadi Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita 90,000,000. Hali ya aphelion katika kilomita 152,000,000. Asilimia 66 zaidi. Hivyo basi, hewa inakuwa ya ubaridi na athari kwenye mwili si nzuri kwa sababu haijazoea halijoto hii. Kwa sababu hii, tudumishe hali zetu za afya ili kuwa na afya njema na hali hiyo ya hewa.
Hii baridi kuna kitu ingine inataka, sio chai na masweta tuWakuu kuna eneo wanaita Rhotia hapa Karatu hii baridi itakuja kuua mtu asee, yaani nahisi moyo unaungua kabisa[emoji849]
Hapa watu watafahamu umuhimu wa akina mama wanene 😁😁😁Hii baridi kuna kitu ingine inataka, sio chai na masweta tu
Simuelewagi mtu anayeyachukulia poa mafua. Mafua kuna watu uwa yanatusumbua sana. Full kulegea
Leo naifeel sio kali... juzi na jana Njiro paliwakaHuku chuga kinapuliza si mchezo
Kes ya uhain inakuhusuPrishaz poleni United States of Arusha
Upepo wa dodoma unakarahisha sana...hata uwe mtu wa vibe vipi utanywea tuHivi watu wa dodoma mnaishi vipi? Sio kwa baridi lile, wiki kama mbili nilikuwa kule aisee kuna baridi usiku upepo unapuliza kama nini dah!
Nikajiuliza au huku area D kwasababu sio changanyikeni ndo maana pa baridi hivi? siku nyingine nikapita mjini kati watu wengi baridi lile lile.
Upepo mkali jua alieleweki nahisi nje ya mji watu watakuwa wamepauka sasa.