Tujiandae kwa hali ya ubaridi kuanzia leo hii Julai 8, 2023

Ukitulia na Kama ulikaa darasani vizuri utakumbuka kwamba
Umbali toka kwenye jua Hadi tulipo Ni 93,000,000 maili
Au 150,000,000 kilomita
Au dakika 8 speed ya mwanga.
Kabla hujaanza kubisha Google au hata Wikipedia.
Siku nyingine usilete vitu na kupest bila kuhakiki.
Sawa dogo?
 
Mlivyo miongomiongo mtadanganya watu kwamba CCM ndiyo imeleta hali hiyo ili watu wasifue sana nguo zao kwa kutokwa jasho.
 
Tunaomba taarifa ya sehemu wanazo experience hali ya theruji..šŸ¤”
 
UMBALI KUTOKA DUNIANI HADI KWENYE JUA NI 8 LIGHT MINUTE NA SIO 5 LIGHT MINUTE.
Asntee kwa kumrekebisha mkuu....labda kama alimaanisha kuwa hizo Tano ni perihelion na hizo 8 ni aphelion
 
Mbona Kanda ya ziwa mfano mwanza haiathiriwi na hizo Hali?huku asubuh ndo Kuna ka ubarid kidogo..ila mchana ni joto la kuzid kabisa
 
Sikupapenda kabisa na vile sinywi pombe loh sio kwa baridi lile.

Ila hoteli kali ile unalala kama upo peponišŸ˜…
Ni hotel ipi? Nashera? Hebu jifunze kunywa wine...anza na virobertsoƱ...very sweet...au visaint anne..mie najiendeaga hotelin na wanangu wao wanaogelea mama yao najinywea kwa raha zangu
 
Simuelewagi mtu anayeyachukulia poa mafua. Mafua kuna watu uwa yanatusumbua sana. Full kulegea

Nashukuru hiyo kitu mafua huwa inanipitia mbali sana.
Mara kadhaa hutishia kunishika lkn hupotelea mbali. Worst case ni kupiga chafya tu.

Poleni wote mnaokumbana na hizo changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…