LGE2024 Tujiandikishe kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Vya kuombea misaada
Kama ccm inavyofanya inavuruga uchaguzi baada ya kuona kuwa watanyimwa misaada wanajitengenezea wabunge feki tena wanawake kulingana na matakwa ya mabeberu ili kubalance mitambo.
 
Kama ccm inavyofanya inavuruga uchaguzi baada ya kuona kuwa watanyimwa misaada wanajitengenezea wabunge feki tena wanawake kulingana na matakwa ya mabeberu ili kubalance mitambo.
Hayo mamistari mnayo enda kupanga huko ni Bora huo muda ukaenda kujifungia na mchepuko lodge
 
Bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ngumu sana Ccm kuondoka madarakani... If you vote just vote for your own risk...
 
Kwa haya yanayoendelea nchini, siwezi kupoteza mda wangu kujiandakisha wala kupiga kura. Ni upotevu wa muda na nguvu zangu.
 
Kwani lazima itolewe kwa njia ya kura? Wao wenyewe hawategemei kura halali kukaa madarakani, ww unaamini vipi kura ndio za kuwatoa madarakani?
 
Kwani lazima itolewe kwa njia ya kura? Wao wenyewe hawategemei kura halali kukaa madarakani, ww unaamini vipi kura ndio za kuwatoa madarakani?
Kwahyo mkuu mnataka kupindua nchi? Au kwa njia ya maandamano? Ccm bado sana kutoka madarakani mkuu
 
Kwahyo mkuu mnataka kupindua nchi? Au kwa njia ya maandamano? Ccm bado sana kutoka madarakani mkuu
Ukishindwa kuheshimu chaguzi kisha ukawa unakaa madarakani kwa udanganyifu, unatoa haki ya kutolewa kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Simple as...
 
Hata vijana wote wapigie kura ccm haitotoka madarakani. Ccm nikikundi Cha majambazi kilichoteka nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…