Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

Mtunza siri zako

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2025
Posts
586
Reaction score
975
Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu.

Naanza:

Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat.

Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu.

Nike - kila muda alikua anataka we β€œjust do it”.

Kunguru - alikua mweusi tiii na haishi kuruka ruka.

Twitter - kwa sababu sasa hivi amekua X.
 
Ukiwa huna hela sii balaaa kengee nyie mane o yote ya kejeri yanawatoka

Unabakinunashangaaa ndio huyu alikuwa anapolea shahawa zangu mdomoni mwake
Jamani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ anapokelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…