AiseeKwani we nani? 😹
Kama unataka kupasha kiporo nayo poa tu.eX utampa jina vipi wakat mmeshaachana au mnapasha kiporo
Daah pole zakeAnamliza sana jane wetu
😂 😂 😂Ma ex wangu ni wawili tu, ila hawajaweza kumove on. Sijui nawaitaje, ila ni marafiki zangu 🙄
Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu.
Naanza:
Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat.
Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu.
Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”.
Kunguru - alikua mweusi tiii na haishi kuruka ruka.
Twitter - kwa sababu sasa hivi amekua X.