Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

Mimi mpenzi wangu namwita kiduku kwa sababu siku Moja alinyoa nywele zake za sehemu ya Siri kwa mtindo wa kiduku.

Baada ya kufuatilia nikagundua kuwa alipewa maelekezo na mwanaume mmoja mpumbavu.


Mpaka watoto wanjua kuwa yeye ni kiduku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…