Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Kama kaacha mali Huwa watu hawalii maana wanaona mwanga Bado upo kwenye familia zao,sasa baba kama Hana anacho acha ,kila sku bila kwenda kibaruani watot hawana msos unadhan akifa kilio chake kinakuaje?
 
Mkuu ukitambuka kuwa kifo ni sehemu ya maisha yetu huna haja ya kulia, kinachotuliza sisi masikini ni huduma, baba alikuwa ndio muhimili mkubwa wa familia, ametutoka je! Ni nani ataihudumia familia? Hapo kulia na kujigaragaza kunapoanza.
Hapana ndugu yangu kifo hakizoeleki japo tunajuwa sote siku tutaondoka kulia mimi sisemi kijigalalagaza nadhani sio nayosema, sisi binadamu tupo tofauti kuna watu wanazuia machozi lakini wanaumia sana kuliko hata wanaolia, ila huzuni usoni huwezi kuikwepa. George Bush alishindwa kujizuia dakika za mwisho baba yake mwenye miaka 100 kumzika na yeye ni milionea huo mfano mmoja tu. Siku tunamzika Baba yake mdogo Mo unamuona mtu ana majonzi sio lazima kulia. Mimi na uwezo wangu lakini nilimililia babu yangu na wala hakuwa tajiri.
 
Unadhani ni kwanini wapo hivyo?
Shida ya wazazi wengi wanadhani kumpa mtoto pesa shule bora ndio umemaliza, hapana familia kuwa pamoja ku share mambo mazuri pamoja inamfanya mtu ajisikie kapoteza kitu sio mtoto toka chekechea anakuona mara moja kwa wiki ukubwa tena ndio hamuonani tena kama wageni. Ndio matokeo yake haya watoto wakavu hawana walichopoteza kama pesa zipo wewe sio muhimu tena.
 
Unapimaje.uchungu kwa kulia?
Mimi nilifiwa na. Mzazi na mpwa sikutoa.chozi.mpaka.wanazika ni.kusmile.mwanzo.mwisho.

Baada ya kuzika ilkkiwa kila jioni nikikumbuka zile.moments za bibi mkubwa kuulizia wajukuu wake na.mambo.mengi machozi yananitoka.ilikaa.zaidi ya mwaka na nusu.

Wengine wanalia.baada ya kuzika
 
Kila mtu ana starehe zake mwenye pesa muda mwingi anatumia pesa kama starehe lakini maskini starehe yetu kubwa ni tendo la ndoa ndiyo maana tunakuwa na watoto wengi tu!
 
Binafsi, docta alitakiwa kua na watoto wengi..

Kama Dr.FAU amefariki na miaka 51 akiwa na kijana huyo mmoja ndio KUSEMA UKOO WA NDUGULILE upo HATARINI KUPOTEA huyo kijana wake anatakiwa azae watoto wengi wa kiume ili ukoo upate vijana wakuuendeleza ukoo.

Binafsi hata sisi ukoo wetu umekua na watu wachache Sana maana wanawake sio wanao beba jina la UKOO

☺️😊 Unakuta ukoo una watu below 20 shame..
 
Acha kutupangia mkuu...kigogo anapata wapi mda wa kupiga pumbu????tuache tuzae mkuu
 
Naamini wana huzuni ila labda wanaomboleza kizungu sio kama sisi kajamba nane hapo kila nikiangalia jeneza ni kilio tu
Kuna jamaa huwa anasema misiba ya kibongo hatumlili marehemu, tunalilia gap la uchumi aloliacha ataziba nani, hao wako well-off financially ndo maana labda
 
Hivi kweli unaweza kuwa mtu mwema na ukawa mwanachama wa ccm. He was failure as father. Haiwezekani uwe kiongozi wa watu halafu watoto wako hata hawawezi hata kuongea lugha ya watu anao waongoza. Hii inaonyesha ni njisi hao watu tunao waita viongozi wasivyq Jari kabisa watanzania. Mtu anaye jitambuwa anahakisha anatuza asiri yake kutoka kizazi mpaka kizazi. Lakini huyo kaiba hela za wananchi akaona haitoshi mpaka watoto wake kawageuza wazungu weusi. Shame to all parent like him.
 
Kwahyo unawashauri maskini ambao hata Kula Yao NI ya shida waoe wake wanne na wazae kama jafo?? Au hujaelewa hata nimeandika nini, nmesema tuzae kulingana na uwezo wetu, kwahyo jafo nae wake alio nao na watoto NI kulingana na kipato chake
Comedy, umenichekesha sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…