Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Mimi tu siyo mwana riadha lakin nakimbia 12kph sasa huyo jamaa ni mwanariadha anaweza kufanya zaid hiyo 5KM/H watu tunatembea siyo kukimbia
Umbali mrefu huwezi kimbia hivyo!
Mimi mwenyewe napepea kichizi 20km/h lakini mita mia mbili ulimi ote inje!

Huwezi maintain speed kubwa umbali mrefu NEVER
 
Mi nadhani ni suala la kupongeza wangekua wenzetu wanaodhamini vitu vyao huyo huyo jamaa angetegenezewa mazingira ya kuweka record either duniani au hapahapa sisi tunabeza
Sawa lakini ukweli unatakiwa
 
Aisee umemkalia jioni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama vipi, Olympic awakilishe Tz au vipi wasee? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ametumia Fursa na akasikika na ndio atakuwa ameshapata mambo Mengi kupitia alichokiaminisha hapo.
Jema ni hakuua mtu wala kubaka wala kupiga..katumia Miguu yake na akili zake.
Maisha ni wewe..
 
Anasemaje kwani kuhusu kula, kunywa, kunya, kuoga na kulala??? Sipati picha aisee. Hivi Guinness Book of Records officials wamepigiwa simu ili waje wadhibitishe wenyewe miujiza hiyo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huyu mwamba alikuwa anatuongezea stori za kupeleka siku mbele na kupunguza stress....ukimtafakari sana alikuwa anatupiga kamba
Waandishi wa habari ndo wanabe sana
 
Huyu mwamba ilikuwa anakimbia ama anateleza??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hiyo speed ya 5 km per hr ni speed ya kutemba sio kukimbia
 
Mi nadhani ni suala la kupongeza wangekua wenzetu wanaodhamini vitu vyao huyo huyo jamaa angetegenezewa mazingira ya kuweka record either duniani au hapahapa sisi tunabeza
Aje huku tumpeleke kambi ya mazoezi, isiwe ndo show ya mara moja tu. Miguu ina hela ndefu ikiwa na kasi aisee! πŸƒπŸΎ πŸ’·
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…